Mdogo wangu aikosa ndoa kisa michirizi

Mdogo wangu aikosa ndoa kisa michirizi

Huwezi amini huyu jamaa ndo alie mtoa bikra Dogo, na akawa anamsomesha kwanzia mwaka wa pili hadi kamaliza Chuo. Na huyu jamaa anatokea huko Serengeti mkoa wa Mara yaan tumejaribu kumshauri haelewi na anampenda sna mchumbaake lakin hii michilizi ndo inamchanganya


wewe na mdogo wako wako wote akili zenu hazina akili za kuwatosha!

I wish I could be your brother!!
 
Bio Oil hakuna kitu.
Nimetumia sana mpaka yale ya Oman.
Michirizi haitoki aisee.... na ndio maana wanawake wengi wanakazana kujichubua angalau ivutie vutie


Hivi Madame B na wewe upo hapa bize kuchangia hii mada ya michirizi na sio kumshauri huyo binti asepe?

Kama kuna kitu kwa mwenza wako na hukipendi kwanza jiulize swali hili;
Je, Kinaweza kubadilika? (Can I change it?)

Kama kinabadilika msaidie kukibadili na sio kumtupia yeye lawama. Kama kanenepa kidogo, amka naye asubuhi nenda naye mazoezi. Kama ni katabia kapya, kabla hakajakomaa kuwa active kumsaidia kukiacha. Kamwe usimpe mwenza wako mzigo wa, "Usipo..basi nita..." Mtu yeyote anayetumia sentensi hiyo ujue siku nyingi sana alishafanya maamuzi na keshachukua hamsini zake.

Kama hakiwezi kubadilika ujiulize, je, kinaathiri upendo wangu kwake? (Is it a deal breaker to me?) Kama ndiyo basi mweleze wazi na usepe. Kama siyo deal breaker kwako basi muombe Mungu akupe busara na hekima ya kukivumilia na kumchukulia mwenza wako kwa upendo ule ule.

Wewe dada Vero usimtese mdogo wako kisa sijui kamsomesha wala sijui alikuwa mwanaume wake wa kwanza. Mapenzi sio masharti.

Lakini ushauri mwingine kwa vijana wote walioko kwenye mahusiano na wanaotarajia kuingia kwenye mahusiano. Someni 1 Wakorintho 13:1-8. Hapo ndipo utapata maana halisi ya upendo. Hapo utaweza kujipima mwenyewe na kumpima mwenza wako. Hakuna kipimo kingine kizuri cha upendo kama hiyo mistari.

Kila la kheri.
 
Huwezi amini huyu jamaa ndo alie mtoa bikra Dogo, na akawa anamsomesha kwanzia mwaka wa pili hadi kamaliza Chuo. Na huyu jamaa anatokea huko Serengeti mkoa wa Mara yaan tumejaribu kumshauri haelewi na anampenda sna mchumbaake lakin hii michilizi ndo inamchanganya
We unamatatizo kwenye ubongo...huoni aibu kusema kwamba ndiye kamtoa bikra mdogo wako??
Kwahiyo unafurahia mdogo wako 'kutombwa' kabla ya ndoa????
Ukoo wenu sii wa kuoa kabisa maana ni majanga!!!
 
Haahaahaa.... Sio IGP!??

IGP anatumbulika kirahisi. I wishi I kuldu be their brother kwa kweli. Huyo dogo ningemchapa viboko mpaka ajifunze vyema nini maana ya upendo!

Watu wanaongozwa na vichwa vya chini kisha wanajidanganya kuwa wanapendana. Asilimia 99 ya mahusiano yaliyoanza na kukuzwa na ngono huwa hayafiki mbali. Inahitajika nguvu ya ziada kuyabadili direction, na si nguvu ya kibinadamu.
 
Huwezi amini huyu jamaa ndo alie mtoa bikra Dogo, na akawa anamsomesha kwanzia mwaka wa pili hadi kamaliza Chuo. Na huyu jamaa anatokea huko Serengeti mkoa wa Mara yaan tumejaribu kumshauri haelewi na anampenda sna mchumbaake lakin hii michilizi ndo inamchanganya
Kwa ulivyo exact on key events naamini huenda ni wewe unayehitaji hiyo tiba, mpaka siku ya kutoa lock unaijua,???
 
stretch mark napenda wanawake wenye nazo kweli tupo tofauti.
 
Michirizi wapi hapendwi...sasa hapo huyo mdg wako anaona kuna mapenzi?kuna vitu vya kubadili mwanamke ila sio maumbile..vitu km mavazi,tabia sawa ila maumbile yanabadilika.. huwez guarantee maumbile ya mtu...ndo mana tunasema oa mwanamke ambaye ht ikitokea akapoteza uzur wa nje bas ujivunie qualities za ndani...dume sifuri na mdg wako akiolewa nae sifuri.. sasa km sifuri jumlisha sifuri kuna chochote kitu bas aolewe.
 
Nimekaa nimewaza. Some men are not cut for marriage. Those are just dumb excuses.

Mke wake atashika mimba. Mimba inabadili mwili. Hata uwe perfect hourglass shape pregnacy turns you topsy turvy.

Pregnancy comes with stretch marks, bigger cup size, big tummies and changes in complexions.

Ukiachilia mbali mabadiliko ya kimwili (physical aspect) kuna mabadiliko mengine ambayo hutokea.

Ukiweka pembeni mimba mabadiliko ya mwili ni lazima kwa yeyote yule. Its clear he is not ready for marriage. Or the butterflies in his stomach are blurring his thinking capacity and he should me a man about it.
 
Aiseeeh,
Kweli , "mla- mla leo' mla Jana Kala nini!"
 
Huyo amehaghairi kuoa hizo ni sababu tuu hata kama isingemtokea saizi hiyo michirizi vipi kama akija kuzaa na hizo stretch marks zikatokea mpaka tumboni ata muacha? ? Aachane nae tuu huyo sio mume
 
Back
Top Bottom