Mdogo wake Mbowe ahusishwa kuharibu matokeo baraza la mitihani.

Huu mtindo wa wanasiasa kuwatumia watumishi wengine kwa maslahi yao itaharibu taifa kikubwa mdogo wake mbowe na wengine kwenye hiyo idara ya compyuta lazima wachunguzwe.
Ni ushenzi kuongopa, huyo mbunge hakutaja mtu japo alilalamika kuhusu matokeo ya mitihani ya kiislamu achene kuunganisha stori akina kaswida vipi mbona munajipalula
 
hajasema mdogo wake,usimlishe maneno...na pia, hivi huyo joseph mbowe ananguvu kuliko waziri? Ha ha ha sasa kama waziri ameshindwa kumuwajibisha bas awajibishwe yeye..
 
Baraza la Mitihani lilithibitisha haya au tu ni kwa sababu ni mdogo wake na Kiongozi wa chama cha upinzani? Nafikiri ni vyema kauli za wabunge hasa kuhusiana na watu walioko nje ya Bunge (ambao hawawezi kujitetea) ziangaliwe sana na pale inapothibitika kuna kupakaziana hatua sitahiki zichukuliwe. Lakini kama kuna ushahidi kuwa uchunguzi ulifanyika na kuthibitisha kosa hilo bila hatua stahiki kuchukuliwa basi kutajwa bungeni ni sahihi kama njia ya kuchagizana kushinikiza taasisi husika kuchukua hatua. Tusitengeneze chuki zisizo za lazima.
 
Ni ushenzi kuongopa, huyo mbunge hakutaja mtu japo alilalamika kuhusu matokeo ya mitihani ya kiislamu achene kuunganisha stori akina kaswida vipi mbona munajipalula

wewe unaangalia bunge gani kasema josefu mbowe au umetumwa kuja kupotosha fuatilia bunge ndipo ubishe,ni kwa nini baadhi ya wanasiasa wakihusika katika mijadala watu wengine wanakuwa wakali sana kulikoni.
 
mkuu uko sahihi lakini mbunge amenukuu matokeo ya tume iliyoundwa na waziri wa elimu mwaka jana kuchunguza matokeo yaliyohusisha matokeo ya wanafunzi wa kiislamu mbowe katajwa kwenye taarifa ya tume.
 
Huyu mtanda alianza kubebwa na rtz toka udsm na kwenye uchaguz membe kambeba kwa sababu ya bifu na muasisi wa jina la mdimu ambalo linamtesa membe mh; midhihir wa mudhihir...hana jipya aende akachukue posho kwa mdmu
 
Mnaanza Ubaguzi CCM kama kawaida yenu,kwani kuwa na undugu na Mbowe ni Dhambi?kwa hiyo nyie wenye ndugu CCM ndio mna haki sana?

kweli kuwa ndugu wa kiongozi siyo tatizo ila josefu atachunguzwa kama josefu na siyo kama mdogo wake na mbowe.
 
wewe unaangalia bunge gani kasema josefu mbowe au umetumwa kuja kupotosha fuatilia bunge ndipo ubishe,ni kwa nini baadhi ya wanasiasa wakihusika katika mijadala watu wengine wanakuwa wakali sana kulikoni.
Nipo nafuatilia bunge haya sasa umeambiwa huyo Joseph Mbowe ni jina na si mdogo wake mbowe embu tuukulize kwa nini wewe unadhani jamvi hili ni kuwakomalia chadema, unadhani waliotengeneza jamvi hili walitengeneza kwa ajili ya wewe kuja kushinda JF kukomalia watu zaidi ya kuchangia hoja za ujenzi wa taifa ambaa uko wewe masalia
 
Ni ushenzi kuongopa, huyo mbunge hakutaja mtu japo alilalamika kuhusu matokeo ya mitihani ya kiislamu achene kuunganisha stori akina kaswida vipi mbona munajipalula
Wewe unayenitukana umepata wapi hati miliki ya matusi kama kwenu mmezoea kutukanana baadaye ukimali kwenu mtaenda muendelee kutukanana na hao ndugu zako.
 
watu badala ya kutoa hoja wanafoka tu kunanini kwani mbowe akitajwa nongwa.
 
mkuu uko sahihi lakini mbunge amenukuu matokeo ya tume iliyoundwa na waziri wa elimu mwaka jana kuchunguza matokeo yaliyohusisha matokeo ya wanafunzi wa kiislamu mbowe katajwa kwenye taarifa ya tume.

Ili ni tatizo kama kweli alitajwa kuhusika ama kwea makusudi au kwa uzembe na hatua hazikuchukuliwa, basi tatizo sio la ofisa huyo tu, linatakiwa liwakumbe watu wengi zaidi. Ni matumaini Bunge litaafiki kuitaka Serkali ieleze kwa nini haikuchukua hatua stahiki kwa ofisa huyu kwa makosa aliyoyafanya.
 
Mtanda anajihamu kuwa yeye sio mhumini wa udini lakini kule baraza amemuona Joseph Mbowe tu, kama yeye ndio aliyeshikilia baraza la mitihani. Mbona ripoti hiyo ya waziri haikufanyiwa kazi kwa wakati ili watz wazijue mbivu na mbichi. Aaah mambo haya ni mkorogo tu.
 
hajasema mdogo wake,usimlishe maneno...na pia, hivi huyo joseph mbowe ananguvu kuliko waziri? Ha ha ha sasa kama waziri ameshindwa kumuwajibisha bas awajibishwe yeye..

JF kuna watu wengine wa ajabu sana hata jana kuna kapost sredi eti leticia wanamsema hapa JF wakati hakutaja hata website moja na huyu tena anakuja na jose mbowe.
 
Said Mtanda ambaye ni mbunge wa Mchinga mkoani lindi akichangia bungeni ameomba Josefu Mbowe ambaye ni mdogo wake na Fremani Mbowe anayehudumu ktk kitengo cha kompyuta pale Baraza la Mitihani afukuzwe kwa kuhujumu matokeo.
Mchovu wa mawazo na mkabila. Tangu lini Kitindamimba akawa na mdogo wake.
 
Nina wasiwasi na content za huu uzi...kuna uchakachuaji. sidhani kama kuna mmbunge mpuuzi kiasi hiki.
 
joseph mbowe hana uhusiano na mbowe kwa hiyo SHAO,MASSAWE, NASSARI, MUSHI , URIO, NCHIMBI ETC WOTE WENYE HUO UBINI NI NDUGU ACHENI USHAMBA HUYU MTANDA AJUI ANACHOKZUNGUMZA AENDELEE KULAMBA VIATU VYA MDMU NA RTZ
 
Jaman mleta mada kajiunga JF 2013 so ni wale wanaolipwa elfu saba 7000 na lumumba kuja kuleta uchafu JF
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom