Mdhamini wa harambee ya CHADEMA usiogope

Mdhamini wa harambee ya CHADEMA usiogope

Mwenye Naura Spring Hotel amefanya kosa kubwa sana ambalo atakuja kulijutia katika maisha yake yote. Na tukumbuke huyu mwenye hii hotel anamiliki pia hotel ya Impala na Ngurdoto. Sijui km biashara zake zitaachwa salama na TRA

Hivi kama mtu (mfanyabiashara) ni mwadilifu kwenye biashara zake kwa kulipa kodi zote za serikali kwa ukamilifu, iko haja gani ya kuogopa TRA wakuu?
 
changeni2,, cjuwi za ruzuku mmepeleka wapi? Au mnapima upepo,, tatizo michango isiyo na risiti mnapenda hata ofisi hamuweki yaani mmekaa kitapeli2 tuwape nchi bila dhamana? Au hamjuwi maana ya chama cha siasa mmeangalia kukimbilia ikulu tuu bila hata ya kufanya maandalizi, tunajuwa jambo la kugeuka ni rahisi sana pamoja na manenoyenu mazuri na ya uwongo mmevutia wa2 wengi na kuwaamini lakini wenye akili tukiwaangalia usoni mmhh. Embu jiulize kuchangia madawati hawataki, kuchangia hata visima hawataki na maendeleo yeyote kwa wananchi wanawakataza kuchangia lakini kuchangia chadema ni halali huu ni upuuzi gani? Ila tuwachangieni tuu.
 
Back
Top Bottom