CT SCan Mchina
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 1,311
- 289
Habari ndoi hiyo
Umeona eeh ameingia choo cha 'Mabibi' kabisa...
Habari ndoi hiyo
Asante kwa kumuweka wazi huyu kilaza wa Bumbuli ambaye hajawahi kupigiwa kura popote pale duniani!Je kama Halima ndiye aliyeiweka humu?
-Kwanza uombe radhi kwa kuleta complaints kwenye jukwaa la siasa huku ukijua kuna jukwaa la complaints.
-I don't know what exactly are you trying to achieve Hon'ble deputy minister
-Si ndani ya bunge hilo hilo spika wa bunge alimkataza Dr.Slaa kuleta habari ambazo source ni mitandao?Mawazo primitive kabisa kabisa
-Mbunge kijana na naibu waziri mzima alitakiwa afanye better kuliko haya maana umekuja huku tena kwa kuingia sehemu ambayo siyo kwa ajili ya kutafuta political credit huku ukijua kwamba ungeweza kumkumbusha huko huko bungeni hata kwa vimemo tu
-By the way tunasubiri bajeti yako kwa hamu maana wizara yako imewaumiza watanzania kuliko kawaida.Fanya kazi
Never in the history of Tanzania have we descended to this level of shame, ridicule and sham in our political fraternity and it is a pointer to things that will follow should we continue to trivialize its sensitivity.
Je kama Halima ndiye aliyeiweka humu?

Rap is an art you can't own no loops
It's how you hook em up and the rhyme style troop
So don't even think you could say someone bit
Off your weak beat come on you need to quit
Take It Personal - Gangstarr
Kumbe watu wana shusha ngeli za kucopy and paste maneno ya other great thinker around tha worldBen Saanane , Mwenye aibu ni wewe unaye plagiarize hata phrases bila aibu hata ku-acknowledge ulikopakuwa kama msingi wa uandishi unavyotuasa.
Angalia ulichokiandika hapa na sehemu ulipokitoa,
Haya maelezo hapo juu yametoka kwenye forum ya Wanaigeria katika link hii,
The Pdp Crisis In Rivers State; What You Should Know. - Politics - Nairaland
Phrase yenyewe inasema,
Don't take watu hapa JF for GRANTED. Dude!.
Ben Saanane , Mwenye aibu ni wewe unaye plagiarize hata phrases bila aibu hata ku-acknowledge ulikopakuwa kama msingi wa uandishi unavyotuasa.
Angalia ulichokiandika hapa na sehemu ulipokitoa,
Haya maelezo hapo juu yametoka kwenye forum ya Wanaigeria katika link hii,
The Pdp Crisis In Rivers State; What You Should Know. - Politics - Nairaland
Phrase yenyewe inasema,
Don't take watu hapa JF for GRANTED. Dude!.
Bora huyo ni member na amewasemea Watanzania wengi ambao hawana access ya JF. Watu wa magazeti huwa wanaiba habari humu na kuziweka kwenye magazeti yao ambapo hupata pesa nyingi sana. JF haiambulii hata senti kumi.
Huyo Kila siku anaingizwa choo cha kike kuna siku alikabidhi ambulance kwa mkurugenzi asiyepaswa ghafla akasituka wamemuigiza choo cha kike ndio zake hizo
Hao Masanto kama wamekataliwa kwenye nchi za wakulima wenzetu iweje sisi tuwapokee kwa mikono miwili tukijua wanakuja kuharibu mbegu zetu za asili ,huyu mzee Raisi bado kuuza matumbo yetu tuu
Dunia nzima sasa hivi wenye nazo wanataka vitu asilia hawataki tena artificial yeye sasa anataka waje watibue mbegu zetu zote
Kama kawaida mods wanaibeba chadema. Wameiondoa threadKwavile ni member nadhani atakuja kuapologise...
Duh!! naona una kazi maalumu ya kumfatilia Ben Saanane.
halima MDEE ni miongoni mwa wabunge vijana wanastahili kupongezwa kwa kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha watanzania wanapata haki zao. Go on Halima,many Tanzanians are behind you,Je kama Halima ndiye aliyeiweka humu?
-Kwanza uombe radhi kwa kuleta complaints kwenye jukwaa la siasa huku ukijua kuna jukwaa la complaints.
-I don't know what exactly are you trying to achieve Hon'ble deputy minister
-Si ndani ya bunge hilo hilo spika wa bunge alimkataza Dr.Slaa kuleta habari ambazo source ni mitandao?Mawazo primitive kabisa kabisa
-Mbunge kijana na naibu waziri mzima alitakiwa afanye better kuliko haya maana umekuja huku tena kwa kuingia sehemu ambayo siyo kwa ajili ya kutafuta political credit huku ukijua kwamba ungeweza kumkumbusha huko huko bungeni hata kwa vimemo tu
-By the way tunasubiri bajeti yako kwa hamu maana wizara yako imewaumiza watanzania kuliko kawaida.Fanya kazi
Never in the history of Tanzania have we descended to this level of shame, ridicule and sham in our political fraternity and it is a pointer to things that will follow should we continue to trivialize its sensitivity.
Unajua kuna watu hapa wakituona tuko kimya wanafikiri sisi ni wakinga au wapumbavu fulani hivi.Kumbe watu wana shusha ngeli za kucopy and paste maneno ya other great thinker around tha world
This guy ( Ben Saanane) has been doing it not just once. Mabandiko yake mengi anayotumia lugha ya Queen Elizebert II anapakuwa kutoka sehemu mbali mbali bila hata ya ku-acknoledge.
Halima Mdee kaja humu JF akakuta thread hii inayozungumzia MONSANTO na sera ya kilimo Tanzania:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kwanza-imeandikwa-kwa-msaada-wa-monsanto.html