Patriote
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 1,718
- 1,047
We vipi mbona unarudiarudia hoja??si ushapost hapo juu suala hili hili?? Mbona km hujiamin kama mchango wako umetambulika??Unatujazia uzi kuandikaandika kitu hicho hicho wengine tuna muda mchache wa kupita humu sasa ukijaa uzi mzima wewe mwenyewe unatuchosha. Hta kama upo kazini sio kihivi!halima mdee ana hoja nzuri lakini lugha ya kihuni anayotumia inafanya hoja yake idharaulike