Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,139
Alishawahii ingizwa choo cha kiume?
si kile cha magari yake kuchakachuliwa mafuta
Alishawahii ingizwa choo cha kiume?
Maganga wa Kienyeji awali sikuwa najua kwanini umeandika Halima Mdee VS Jamiiforums niliposoma nikaona mantiki ya Monsanto ni mbaya kabisa kwa jamii yetu hapa nchini nikajiuliza kwanini awe VS Jamiiforums ni kweli ameenda kinyume na maadili ya JF kaleta style za Bungeni hapa JF za kutukana tukana. Tumsamehe yawezekana ana jazba kutokana na upendeleo wa Spika kwa wana CCM
Huyo asiye jua kuwa muarobaini mchungu ni nani? na je mtakuwa tayari kuunywa? yangojeeni mnayoyatarajia kama yatatoke maana aibu mtakayo kuwa mnaipokea kwenye majimbo itakuwa ni pigo kubwa sana kwenu vilaza kama wewe mnaotumia makalio kufikili, kwa akili zako ndogo unadhani watanzania wa leo ndio wale wa 2005? subiri utayapata majibu 20015 mbulula we....
Halima Mdee wewe mwache 2015 ndo atamjua Mrs Babu manake anavyolitamani jimbo lake
Halima Mdee kaja humu JF akakuta thread hii inayozungumzia MONSANTO na sera ya kilimo Tanzania:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kwanza-imeandikwa-kwa-msaada-wa-monsanto.html
Katika mazingira ya kawaida kama msomi ungetegemea kuwa mbunge huyu wa Kawe angeweza ku acknowledge na kutoa reference ya Jamii Forums, lakini akaamua kuja na kauli bila kuipa JF credits kwa kuibua hiii issue.
Halima Mdee wewe mwache 2015 ndo atamjua Mrs Babu manake anavyolitamani jimbo lake
halima mdee ana hoja nzuri lakini lugha ya kihuni anayotumia inafanya hoja yake idharaulike
Je kama Halima ndiye aliyeiweka humu?
-Kwanza uombe radhi kwa kuleta complaints kwenye jukwaa la siasa huku ukijua kuna jukwaa la complaints.
-I don't know what exactly are you trying to achieve Hon'ble deputy minister
-Si ndani ya bunge hilo hilo spika wa bunge alimkataza Dr.Slaa kuleta habari ambazo source ni mitandao?Mawazo primitive kabisa kabisa
-Mbunge kijana na naibu waziri mzima alitakiwa afanye better kuliko haya maana umekuja huku tena kwa kuingia sehemu ambayo siyo kwa ajili ya kutafuta political credit huku ukijua kwamba ungeweza kumkumbusha huko huko bungeni hata kwa vimemo tu
-By the way tunasubiri bajeti yako kwa hamu maana wizara yako imewaumiza watanzania kuliko kawaida.Fanya kazi
Never in the history of Tanzania have we descended to this level of shame, ridicule and sham in our political fraternity and it is a pointer to things that will follow should we continue to trivialize its sensitivity.