Mdee: Rais ameingizwa 'choo cha kike'

Mdee: Rais ameingizwa 'choo cha kike'

Kukataliwa kitu nchi nyingine sio kigezo cha tanzania kukataa pia. Sio kweli kuwa GMO zinaleta utaahira. Ila sababu za kulinda wakulima wetu ndio kubwa zaidi. Nadhani mdee hajafikia uwezo mzuri wa kulijengea hoja hili. Swala liko kwenye mjadala wa kimataifa. Mdee ni lazima ajue faida na hasara za GMO. Angefafanua kwa wana jf kuhusu hasara na faida zake kwanza asilete siasa.
Usiwe mvivu wa kufanyiwa kila kitu, google uone faida na hasara za GMO
 
Siku zote nitaendelea kusema halima si mwadilifu hapo tena kapuguza chuoni alikuwa na matusi yale ya nguoni balaa.
Acha upimbi matusi ya nguoni ni yapi?hivi choo cha kike ni tusi zaidi ya Fu** you...lililotolewa na CCM.
 
Haya mambo ya GMO mbona yako wazi sana.ukweli ni kuwa mbegu hizi hazifai kabisa kwa afya zetu sema tu,kama unategemea misaada ya IMF huna ubavu wa kukataa mambo haya,DEPOPULATION inaendelea!
 
ni lugha ya kifalsafa,kama hujaelewa jinyonge....ajira mpya za masisiem kwenye mitandao....

tunasema kila siku "hawa wabunge wa chadema wana uzalendo wa kutisha"!kwa kifupi monsanto ni janga.wasomi mko wapi?mnangojea madhara yakishatokea ndto mfungue vinywa vyenu?mumsaideni mdee kwa kumpa jk data za monsanto katika nchi mbalimbali duniani.jk labda ameshauriwa na watu aina ya dr bana.
 
Duh Bigirita usimuaibishe namna hii.
Ben Saanane , Mwenye aibu ni wewe unaye plagiarize hata phrases bila aibu hata ku-acknowledge ulikopakuwa kama msingi wa uandishi unavyotuasa.
Angalia ulichokiandika hapa na sehemu ulipokitoa,
Never in the history of Tanzania have we descended to this level of shame, ridicule and sham in our political fraternity and it is a pointer to things that will follow should we continue to trivialize its sensitivity.
Haya maelezo hapo juu yametoka kwenye forum ya Wanaigeria katika link hii,

The Pdp Crisis In Rivers State; What You Should Know. - Politics - Nairaland

Phrase yenyewe inasema,
Our country has only seen a similar case of this travesty of justice with the annulment of June 12 Presidential elections. But even at that, it was not this void of reason and substance. Never in the history of Nigeria have we descended to this level of shame, ridicule and sham in our judiciary and it is a pointer to things that will follow should we continue to trivialize its sensitivity.
Don't take watu hapa JF for GRANTED. Dude!.
 
tunasema kila siku "hawa wabunge wa chadema wana uzalendo wa kutisha"!kwa kifupi monsanto ni janga.wasomi mko wapi?mnangojea madhara yakishatokea ndto mfungue vinywa vyenu?mumsaideni mdee kwa kumpa jk data za monsanto katika nchi mbalimbali duniani.jk labda ameshauriwa na watu aina ya dr bana.
naunga mkono hoja mia kwa mia.....hapo kwenye red huyo jamaa ni janga la kitaifa,nina wasiwasi na u dr wake....
 
KWA KAWAIDA serikali yetu hii Haiko kumjali Mwananchi bali kwa Mantiki wazijuazo wao. Kampuni imekataliwa nchi zilizoendelea wewe unaona ni SAHIHI kuwaleta....
 
Wabunge weetu yanimwigulu na lusinde wamewahathiri kweri. Hebu wajitahidi kufikisha ujumbe bila rugha za kuudhi wengine
 
Mleta mada ni mnafiki au ni kweli mnasikia kwa kutumia masaburi?
amesema mawaziri wa magamba waache uvivu wasome enternet na you tubes waone mambo sio wanatumia you tubes kuwakamata akina Lwakatare.....fastijeti nae achanganye akili za wenzake na zake aache kuingizwa ladies toilet.....
 
Kama Babu wa LOLIONDO alipewa 'support' kuwa KIKOMBE kinaponya; halafu leo hii Wizara Ya AFYA ikatangaza kuwa ilikuwa ni SUMU... Kwa Kampuni hii ya MONSANTO sishangai kuona inapokelewa na Serikali ya CCM.
 
Back
Top Bottom