Mdee: Rais ameingizwa 'choo cha kike'

Mdee: Rais ameingizwa 'choo cha kike'

Alishawahii ingizwa choo cha kiume?

bora kaingizwa choo cha kike ataishia kupigwa makofi,alafu anaeza akabahatisha kupata raha kadhaa.....angeingizwa cha kiume,huo mziki wake...dooh
 
Zamani nilijua usalama wa taifa walipaswa kujua zaidi juu ya makampuni kama haya yanayo kuja kuwekeza nchini kwetu kumbe kazi ya usalama wa taifa ni kutengeneza video na kungoa watu meno na kucha bila gazi...
Jitahidi kutafuta siku moja utajua zaidi make naona unahamu ya kujua kazi ya idara ya usalama wa taifa lakini komaa kweli make mpaka mungu anaweza kukuchuku hujajua kazi ya hawa jamaa make kama hawajulikani iweje kazi zao uzijue jipange hasa.
 
. Smile, hivi choo cha kike huwa kinakuwaje?

Hakina sinki la haja ndogo (ambalo huwekwa juu usawa wa uume)....choo cha kike ni cha kike kina chombo spesheli kuwekea matakataka ya wanawake (pedi)...
 
Last edited by a moderator:
hivi choo cha kike kipoje? maana huku mtaani mambo hayo hatunayo. vyoo tulivyonavyo tunatumia kwa kushare wanaume na wanawake

Nenda bar iliyokaribu nawe kisha uliza hilo swali....umezoea kuchimba shambani nini mzee wa Lizaboni,songea kwetu!?
 
laptop yake anaitumia kuangalia ngono tu badala ya kufatilia mambo kama haya......

Haangalii ngono bali anafanya, wewe unaetamni halaf huwez kupata dem mkali ndo unamalizia kwenye Laptop, Riz 1 seniour hata akimtaka Mama Junior atagonga maana mama J si ana uroho wa u first lady!
 
Jamani mnaomshangaa mdee mi nawashangaa halima yuko hivyo tena hapo kalemba angeamua kuachia kama ninavyomjua mngekimbia muondoke kwenye luninga zenu.
 
lugha aliyotumia mdee siyo nzuri

kwani rais akiingia choo cha kike itamdhuru nini? Rais ni muislam kwa hiyo atakojoa kiislam maana nasikia wanaume wa kiislam wanatakiwa wakojoe wakiwa wamechutama kama mademu ila huwa wanakaidi amri ya muhamad kwa kukojoa wima!
 
Zamani nilijua usalama wa taifa walipaswa kujua zaidi juu ya makampuni kama haya yanayo kuja kuwekeza nchini kwetu kumbe kazi ya usalama wa taifa ni kutengeneza video na kungoa watu meno na kucha bila gazi...
Ndugu yangu yegella usalama wa taifa ndio wanaosaidia makampuni kama haya kupata tenda haraka.
 
Kukataliwa kitu nchi nyingine sio kigezo cha tanzania kukataa pia. Sio kweli kuwa GMO zinaleta utaahira. Ila sababu za kulinda wakulima wetu ndio kubwa zaidi. Nadhani mdee hajafikia uwezo mzuri wa kulijengea hoja hili. Swala liko kwenye mjadala wa kimataifa. Mdee ni lazima ajue faida na hasara za GMO. Angefafanua kwa wana jf kuhusu hasara na faida zake kwanza asilete siasa.
 
Tatizo lako unafikiri mawazo na fikra zako zako ndivyo zilivyo pia na kwa watu wengine.

Kwa akili yako unataka kutuambia na kutuaminisha kama Halima Mdee anaweza kuwa na Jf ID nyingine zaidi ya hiyo verified anayotumia?. WHY?.

Unapoanza kuishambulia ID ya mleta thread huku ukitaka kutuaminisha kama hiyo ID niya waziri fulani ni kutaka kujijengea umaarufu kwa nguvu za kuokota.

Mtu fake bana, psychologically anafikiri kila mtu ana mawazo ya ki-fake fake!.

Ukiambiwa kumtaja huyo waziri ili tujue ukweli wako, unakuja na pre-emptive defence kuwa huwezi kumtaja kwa sababu sheria za JF haziruhusu name calling!!
Yani umeandika maneno mengi namna hiyo kumjadili mtu?
ukiwa kenge usile yai la kuchemsha.
 
Ndugu yangu yegella usalama wa taifa ndio wanaosaidia makampuni kama haya kupata tenda haraka.
Nilianza kushangaa baada ya rahisi kusema hawajui wamiliki wa Richmond, baadae nikaambiwa ndege ya jeshi la nchi nyingine limekuja na kusomba wanyama hapa kwetu na eti hawakujua nikajua hawa siyo usalama wa taifa bali wahuni wa taifa aka usalama wa mafisadi na majangili....na sasa wameongezwa jukumu ni kuongoa kucha na meno....
 
Siku zote nitaendelea kusema halima si mwadilifu hapo tena kapuguza chuoni alikuwa na matusi yale ya nguoni balaa.

We maarufu unajuana na mbunge...mmesoma nae..mmetukanana nae .... hizi ndio sifa za kijinga unazotaka eti???
 
Back
Top Bottom