Mdee: Rais ameingizwa 'choo cha kike'

Mdee: Rais ameingizwa 'choo cha kike'

Duh!

Ben wa Saa Nane itabidi ajieleze hapa.
Hawezi kuja na verified name kujieleza labda kama anataka kuvaa taulo la aibu zaidi. Kama exposure ya India imemsaidia, basi anaweza akauvaa uungwana na kuomba msamaha kwa jambo hili na watu wakalisahau. Lakini kama atataka kuwa kama wanasiasa uchwara wa Tanzania, basi inambidi atafute siraha nyingine ya utetezi lakini siyo hii ya kusema eti ni active member kwenye foreign forum. My foot.
 
Choo cha kike? Kauli hii ingetamkwa na mbunge wa CCM pangechimbika hapa JF.
 
haya madudud sijui yataisha lini?!!
kuna siku nilipewa lift na mtaalamu mmoja wa kilimo alikuwa analalamika na hasa akimlalamikia waziri mkuu kwa kuhamasisha matumizi ya mbolea za viwandani na uzalishaji wa mbegu kisayansi kwa kweli inauma lakini mtaalamu huyu hana jukwaa la kusemea.
inauma kwa kuwa na viongozi wazembe wasiowashirikisha wataalamu katika maamuzi yao na mbaya zaidi wataalum wanaousishwa wamechoka au wabinafsi wanachoangalia ni rushwa yao tu ndo madhara yake
 
Mkuu Mbona inajulikana kwamba kikwete ni janga la TAIFA,Tangu nchi hii ipate uhuru sijawahi kuona Rais mzembe wa kusoma na kufatilia mambo kama huyu!
 
Romario alikuwa anaweka picha ya Edmundo kwenye mlango wa choo cha baa yake huko Rio
 
Kama Kuna laana kubwa kuliko zote ambazo Mungu amewahi kuipiga tz ni kutupa FastJet na uongozi wake pamoja na CCM yake
 
Tatizo kilimo chetu kinaendeshwa kisiasa wataalamu wa kilimo wanawekwa pembeni haiwezekani vyombo vyote visijue madhara ya hiyo kampuni hizo ni 10%
 
Raisi wangu chonde chonde nakushauri uache udalali wa kupigia upatu biashara ya wazungu kutulisha sumu na chemical zao kwa ajili ya manufaa yao.Katika nchi yetu kubwa yenye nguvu ya <75% ni wakulima mashambani na ardhi ya kutosha zaidi ya hekta <4.million za ardhi kuna haja gani ya kurasimisha sumu.?
Wataalamu wa kilimo na ufugaji mpeni ushauri raisi wetu japo wakati mwingine mbishi na mbinafsi gharama na hasara ya mazao ya GMO ni kubwa kuliko faida yake kwa kpindi kirefu kwa uchumi na afya za taifa letu.Wazungu nia yao ni kushika na kucontrol uchumi katika sekta ya kuuza mbegu,mbolea vitu ambavyo mkulima wa kawaida hataweza kupata kwa wakati mwafaka.Jamani GMO itatupotezea mchele wetu wa kienyeji super wa Kyela,kilombero,kahama,chato,Musoma na shemu nyingi walizoea vyakula vya asili.
Raisi Kikwete siyo kweli kuwa njaa katika nchi maskini itaondolewa na GMO kama ambavyo wabinfsi wachache wanakudanya na kushauri. Muhimu katika nchi yetu hii ni kuwekeza kikamilifu na kuunganisha program na miradi mbalimbali ya kilimo kulingana na mazingira ya mkoa au Wilaya.

Mkuu, nakubaliana na wewe. Ulichoandika na kweli.
Hoja ama maelezo ya Mhe Halima Mdee yana maana sana unapozungumzia muskabali wa afya za watanzania na makampuni ya mbegu ya wazawa.
 
PEOPLE VOICE, IS THE VOICE OF GOD. Nadhani Wahusika wamesikia. Hata kama Machizi, lakini Huu ni ujumbe makini kwao, So inajua Idadi kubwa ya Wazungu ni Mashoga, kwa hiyo kutumia GM products ni sawa na Ndoa ya Mashoga, Yaani hakuta kua na watoto, labda watoto wa kuasili.
 
kikwete ana hulka ya kike sishangai kuingizwa kwenye choo cha kina mama, ahsante mdee kwa kulisema hili politely.
 
Back
Top Bottom