Ni kweli siyo nzuri ila kwa hapa tulipofikia lugha za aina hii ni muhimu coz zinasaidia viongozi kuelewa somo..!Lugha aliyotumia mdee siyo nzuri
Ni kweli siyo nzuri ila kwa hapa tulipofikia lugha za aina hii ni muhimu coz zinasaidia viongozi kuelewa somo..!Lugha aliyotumia mdee siyo nzuri
Kama JF ni author wa hiyo article ange quote na kuisifu lakini JF siyo author nao wameichukua google au kwenye mitandao mingine. Pia hii article inapatikana maeneo mengi online kwa hiyo kumtaka Mh. Halima Mdee ku apologize ni ushamba na badala yake tunatakiwa kumsifia kwa kutoa hoja za kisayansi ambazo ni well researched.
unaota au umepiga baghe, mbona unaandika vitu vya ajabu ajabu.
Sina muda na sababu ya kumfuatilia kwa sababu hata simfahamu na hata yeye hanifahamu. Lakini mtu akipita kwenye anga zangu lazima apate kile alichokifuata.Duh!! naona una kazi maalumu ya kumfatilia Ben Saanane.
Alishawahii ingizwa choo cha kiume?
Ben kesha-hint utetezi wa kwamba hata huko anaweza kuwa mwanachama pia.
Ni kweli huyo jamaa ni member kwenye forum nyingi.Nilimkuta political forum ya US kwa jina la Lin***n na jinsi alivyokua akichangia sikujua kama ni mbongo hadi nilipojichanganya na yeye kuingia mtegoni.Hata ghananation ya ghana yeye ni member kwa jina la....
Nyani Ngabu , Lugha ninayoongea niya ki-Bariadi Bariadi, sisi hatubahatishi pamoja na kwamba tuna sifa moja ya ubishi.Ben kesha-hint utetezi wa kwamba hata huko anaweza kuwa mwanachama pia.
Well done Mdee, hao jamaa ni kimeo hata ukijaribu ku-google unapata ufisadi wao, pamoja na kukuwa kwa kasi TEKHOMA hivi rais wetu ataendelea kudanganywa mpaka lini?
Mkuu , Nyani Ngabu , Nafikiri utakuwa unayasoma haya maelezo ukiwa kichwani mwako na ule usemi maarufu wa Mwl. Nyerere aliposema "Mtu mwenye akili akijua kuwa na wewe una akili akikuambia jambo la kipumbavu na wewe ukalikubali, huyo mtu atakudharau sana."Lol...hata www.ghanaweb.com yupo.
halima mdee ana hoja nzuri lakini lugha ya kihuni anayotumia inafanya hoja yake idharaulike
Duh, Kwa hiyo Ben Saanane ni member katika makumi ya forum na pia mwandishi wa article za habari mbali mbali hapa duniani,Ben kesha-hint utetezi wa kwamba hata huko anaweza kuwa mwanachama pia.
Wakati haya maneno yanatoka hapa,By OKW BOBAN SUNZU
They hate you coz you feed them the truth
Let them hate provided they respect my principles and conduct.....
Let them hate Ben Saanane so long as they won't dare to bribe him...
This is when a character tries to bribe somebody, but the bribe is either pathetically small or involves something of no conceivable value to Ben. My Common reactions will include an incredulous stare, dismissive laughter, or even even arresting the for attempt bribery.
Watch this space OKW BOBAN SUNZU,for ain't a vampire,sinywi damu za watu!
Haya maneno yanatoka hapa,This is when a character tries to bribe somebody, but the bribe is either pathetically small or involves something of no conceivable value to the recipient. Common reactions include an incredulous stare, dismissive laughter, or even arresting them for attempted bribery. Alternatively, the recipient may enthusiastically accept the bribe, much to the amusement of the audience. (A once-common form of this variant involved Canadians being bribed in American currency, although economics can largely ruin any humor it holds.)
Hizi phrase zinatoka kwenye hii thread,Nobody will help Africa, nobody can help Africa and that is the truth. If we expect others from outside to come and help us, it is a second class help
What do I see for the future? We have caliber of women, men, young and old that Africa needs to put itself up and to make its voice heard in the world today and tomorrow.
Until Tanzania and Tanzanians choose and elect their leaders wisely,bad leasership would abound.
Its our collective responsibility to vote-in credible and honest men come 2015 irrespective of tribal,religious and political affinity.The onus is on us the electorates
Hizo phrase zinatoka kwenye article hii hapa,Its to try and prepare African youths, boys and girls, together that future belongs to you youths.
Nobody will help Africa, nobody can help Africa and that is the truth. If we expect others from outside to come and help us, it is a second class help.
What do I see for the future? We have caliber of women, men, young and old that Africa needs to put itself up and to make its voice heard in the world today and tomorrow.
kweli bana hawa wabunge wanatumia mno lugha isiyo na staha, jamani sio utamadunni wetu kukosa staha kwa watu na hasa walikuzidi umri. Halima unaongea na watanzania wote, including your parrents! what my kids can learn from you Dada! CDM tunakosea sana na chama kinapaswa kuwajibikika hapa, sasa tofauti yako na Lusinde nini nini! haaaaaaaa! this is pathetic!