Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Anaongea nini huyu jamaa.. Kihindi au kiswahili??
Mzee mengi ajiheshimu aache watu wafanye kazi, anawapotezea mda watu pasipo msingi wowote iweje yeye tu agombane na kila mtu.
hawezi kupoteza mda wake bhana mwacheni mzee wetu alale...
Mzee mengi ajiheshimu aache watu wafanye kazi, anawapotezea mda watu pasipo msingi wowote iweje yeye tu agombane na kila mtu.
Mengi hana mda wa kupoteza na manji, halafu watu mnaabudu hawa asian mtafikir ndugu zenu.
Msisahau TBC ni chombo cha habari cha manji
Si mnakumbuka alivyo watoa original comed channel 5 akawapeleka kwenye Tv station yake TBC?
Mkuu umesahau hapo,Kuna kifo cha Mwandishi amesema Jamaa ameuwawa na Serikali.Mengi kashagombana na watu kibao
1.Willson Masilingi
2. Basil Mamba
3.Masha
4.Hilal Hamad Phantom
5.Rostam Aziz
6. Shabiri Dewj
7. Sospeter Muhongo
8.Yusuph Manji
.......
Mengi kashagombana na watu kibao
1.Willson Masilingi
2. Basil Mamba
3.Masha
4.Hilal Hamad Phantom
5.Rostam Aziz
6. Shabiri Dewj
7. Sospeter Muhongo
8.Yusuph Manji
.......