Mdahalo wa Mengi na Manji wa leo ni saa ngapi?

Mdahalo wa Mengi na Manji wa leo ni saa ngapi?

dah.mna uzalendo bandugu manji ni muhindi muarabu.hao watu awatupendi.wanapendana wenyewe.siwezi mfagiria asian.mengi kwa huyu hapana namuunga mkono mengi...asian hapana
 
Eti yule mzee anamzidi hata Baba yangu
 
Mengi nilipanda nae ndege moja Dar hadi KIA hayupo dar anakula goodtime moshi!!
 
Mengi kashagombana na watu kibao
1.Willson Masilingi
2. Basil Mamba
3.Masha
4.Hilal Hamad Phantom
5.Rostam Aziz
6. Shabiri Dewj
7. Sospeter Muhongo
8.Yusuph Manji
.......

Na wewe weka orodha ya watu uliowahi kugombana nao. Ni vyema ukaanzia zama za utoto mpaka sasa.
Je huo mdahalo ulitakiwa kujikita kwenye nini??????????
 
Ilitangazwa kuwa watakwepo wote hapo TBC, ila namuona Manji pekee na kiti kimebaki wazi tu na Mtangazaji kaomba radhi kwa kutokuwepo mengi.

Kuna mtu ana info why. Mzee hajatokea?

hawazi kutokea hata siku moja si anajua ataumbuliwa live ufisadi wake na kwa ushahidi halafu mengi ni kikwazo yanga kutopewa eneo la kujenga uwanja jangwani nilivyomsikia kwa haraka haraka
 
Toeni usengerema wenu hii nchi yetu wote kwani yeye nani si mwizi tu mangi huyo wote mnao msupport ni mikia mwambie aje kwenu kwani lazima aje yanga hatumtaki mwizi
 
dah.mna uzalendo bandugu manji ni muhindi muarabu.hao watu awatupendi.wanapendana wenyewe.siwezi mfagiria asian.mengi kwa huyu hapana namuunga mkono mengi...asian hapana

Mkuu weka racism pemben
Simama kwenye ukwel
Mengi kama mzalendo kwel angekuja kuthibitisha kuwa manji fisadi kuliko kukimbia anaonyesha kuwa ye mwenyewe fisadi
Chek kafulila alivyoshupalia mpka kesho inshu ya escrow kokote yuko radh kuthibitisha alichokisema
 
Mengi zee zima linalialia kutaka lionewe huruma

hivi ni Kweli Mengi analia lia au anaona jinsi cc watanzania tunavyodhulumiwa na hawa watu wa Asian.....!!!??? Ntajie Mtanzania Ambaye Mengi ameingia nao kwenye Ugomvi....!!?!??
 
Mengi alishawahi kumshutumu kigoda kuwa kamnyima kilimanjaro hoteli sababu eti aliambiwa atoe rushwa, mengi hampendi manji sababu mengi alijalibu kutaka uongozi yanga akatoswa lakini manji kapewa sasa hilo linamuuuma
 
Mengi alishawahi kumshutumu kigoda kuwa kamnyima kilimanjaro hoteli sababu eti aliambiwa atoe rushwa, mengi hampendi manji sababu mengi alijalibu kutaka uongozi yanga akatoswa lakini manji kapewa sasa hilo linamuuuma

Mkuu sio kigoda aligombana na masilingi
 
Manji ana matusi ya rejareja 'eti hawezi kumtukana Mengi sababu Mengi ni kama Babu yake'

Hajakosea, Mengi kwa umri wake wa zaidi ya miaka 70, ana umri kabisa wa Babu yake Manji.

Nakimbuka mwaka 2008/2009 akiwa na bifu na Rostam, Rostam alisema anamstahi kwa sababu kwa umri wake wa miaka 70 ni Mzee wake.Hivyo kama 2009 alikuwa na 70 basi saizi anaitafuta 80.Pesa zinatunza mwili.
 
Mengi zee zima linalialia kutaka lionewe huruma

Mengi ni mzee ? unamuwashia moto usiku ? Au umepewa peremende na mhindi uongee ovyo ? ninyi ndio ambao ubwabwa tu unawabadilisha msimamo
 
Hebu laleni uko mnaongea ya watu wakati ya kwenu tu yamewashinda

Changia vitu vya maendeleo na sio upuuzi wa bifu za watu

chukia lakini habari unayo

am
out
 
Hawa watu wote wawili hawajakuwa kila mtu anamatatizo yake binafsi.
Chakusikitisha wanataka kutushirikishisha maslahi yao binafsi.
Na zaidi nadhani imani za dini zao wanazo abudu ni dhaifu hawatosheki na hawajui kilicho waleta duniani.
Wao wanadhani wameletwa duniani kukusanya fedha tu.
Bila kujua lingine lililowaleta wako tayari sisi tugombane ili wao wapate fedha tu.
Ni upuuzi watu wenye kumiliki pesa kiasi walicho manji na mengi halafu kila siku kugombana tu kama vile wake wenza.
Ni jambo la kushangaza kuona watu wazima mungu aliowajaalia halafu kila siko kusikia nyoko nyoko kama wanawake wanaogombani bwana.
 
Back
Top Bottom