mmmh! Mengi awe na Manji kwa jambo lipi la kujadili?Nimeambulia kitu kimoja tu
" nitagombea udiwani ""
swali zuri, kwa miaka sasa hawa jamaa wana oneshana ubabe wa pesa na kiburi, ila wiki tatu hizi wameanza tena kutibuana huku kila mmoja akimtupia mwenzake tuhuma za kukwepa kulipa kodi na mengneyo
Hayupo nje ya nchi ila yupo nje ya mkoa wa Dar es Salaam!
Mkuu sio kigoda aligombana na masilingi