Kati ya mabilionea weusi na wazalendo Mengi anaongoza, hao wahindi na waarabu mnaowatukuza kisa wanatoa misaada misikitini ndo waharibifu wakubwa wa miundombinu yetu hususan barabara zetu kwa kubeba mizigo mizito na ndo wakwepa kodi wakubwa,

Mengi hana ubavu wa kufanya mdahalo na Manji.
Bahati mbaya sana mimi si mkristo wala muislam, nyinyi watumwa wa dini endeleeni kuwatumikia hao mabwana zenu.
Zumbe mkuu baelezee, hawa wakipewa tende masjid basi wanawaona waarabu kama waume zao. Hawajui kwamba utajiri wa waarabu ni meno ya tembo na vitu kama hivyo. Yaani wako kama wale wanaopewa kanga , t sheti na kofia plus ubwabwa, hasa ubwabwa wanasahau kwamba kura yao inamaana kama utu wao. Mpe mjinga ubwabwa au tende atakuachia kila kitu hata laini yake ya simu anayoitangaza mpoki.
Wana debate juuu ya nini kwani?
C nilisikia Mengi 'alikuwa amekimbilia' nje ya nchi? Kapiga moyo konde na kurudi?
kijana acha chuki za kidini, kuwa mkristo ktk roho na kweli., habari za misikitini mara wahindi mara barabara zinahusikaje ktk uzi huu?
Mdahalo TBC !!Mengi vs Manji!!!!!huo mdahalo mada itakuwa nn?Jamaa anabuni post nyie mnatoka mapovu kuichangia