Mdahalo wa kukata na shoka

Mbona mimi siwalewi? Yaani mnaletewa ukweli kupitia Tv bure badala ya kununua magazeti kila siku kwa gharama kubwa kupta habari hiyo hiyo. Wakati mwingine tunanunua habari za uwongo.
 
Kuna wanaosema watu hawa wanatakiwa kwa sasa wawe mahakamani. Sasa hizo lawama za serikali zinamhusuje ngurumo anayeendesha kampuni ya vox media? Kazi yake yeye ni kuibua mambo kupita mijadala.
 
Mbona mimi siwalewi? Yaani mnaletewa ukweli kupitia Tv bure badala ya kununua magazeti kila siku kwa gharama kubwa kupta habari hiyo hiyo. Wakati mwingine tunanunua habari za uwongo.
 
Mbona mimi siwalewi? Yaani mnaletewa ukweli kupitia Tv bure badala ya kununua magazeti kila siku kwa gharama kubwa kupta habari hiyo hiyo. Wakati mwingine tunanunua habari za uwongo.
<br />
<br />
kwa hiyo unashauri nini?
 
Hawa Vox Media nao wanatumia masaburi kufikiri, suala hili sasa hivi linachunguzwa na TAKUKURU na kamati ya bunge, kuendelea kulijadili hadharani ni kuingilia uchunguzi. Nadhani woote walioandaa huu mdahalo hawana hata chembe ya uelewa wa sheria ya kupambana na kuzuia rushwa.
Nduka whether unaongea kishabiki au vyovyote vile lakini nafikiri kwa hili una hoja
 
Lazima wabunge wote wa Dar waitwe kwenye mdahalo huo asikosekane Idd simba,zungu na azzan.watu muhimi sana hawa
 
Hawa Vox Media nao wanatumia masaburi kufikiri, suala hili sasa hivi linachunguzwa na TAKUKURU na kamati ya bunge, kuendelea kulijadili hadharani ni kuingilia uchunguzi. Nadhani woote walioandaa huu mdahalo hawana hata chembe ya uelewa wa sheria ya kupambana na kuzuia rushwa.

acha ujuha ww , we unafikiri hizo tume ni za kuaminika au za kujali maslahi ya haohao.
tume chache sana utajua ripoti zake ila nyingi wanachakachua.Hao wanaoelewa sheria ya rushwa nn walichofanya kama sio nao kula rushwa tu.
Subiri watu wateme cheche live tusikie , michakato ya tume ni ***** tu!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom