waswahili walipewa nafasi wakashindwa, waliiba mpaka mtandao ukashindwa kulipa commision kwa ma-team leaders na ma-freelancers! Achilia mbali mishahara kwa waajiriwa wa zantel. Binafsi nawapongeza zantel kwa hatua hiyo!
huna tofaut na kaburu !View attachment 53328 View attachment 53329View attachment 53331View attachment 53332View attachment 53333View attachment 53340View attachment 53341View attachment 53342
Hauwezi kuamini hawa ndo wahindi walioajiriwa Zantel kwa kipindi cha muda mfupi tokea January kwa huu(2012) Jamani hawa Migration hawapo????????????????????
Tuwaige kwenye kukwepa kodi au kitu gani...?huna tofaut na kaburu !
tukianza kuangaliana kabila lipi ni wengi pahala gani mbona italeta balaa kwenye baadhi ya secta ikiwemo vyama vya siasa .
waache hawa ndugu wafanye kazi ; mi nawapenda sana hawa ndugu na ni mfano wa kuigwa kiutendaji
huna tofaut na kaburu !
tukianza kuangaliana kabila lipi ni wengi pahala gani mbona italeta balaa kwenye baadhi ya secta ikiwemo vyama vya siasa .
waache hawa ndugu wafanye kazi ; mi nawapenda sana hawa ndugu na ni mfano wa kuigwa kiutendaji
View attachment 53328 View attachment 53329View attachment 53331View attachment 53332View attachment 53333View attachment 53340View attachment 53341View attachment 53342
Hauwezi kuamini hawa ndo wahindi walioajiriwa Zantel kwa kipindi cha muda mfupi tokea January kwa huu(2012) Jamani hawa Migration hawapo????????????????????
Kama waswahili mlipewa kampuni mkashindwa kuendesha hadi mishahara ikawa inatoka Eti salat ndo maana wakaamua kuwaletea wahindi na ndo faida ya kampuni inaanza kuonekana wamepewa akina kakai wakawa wanabunya tu
Mi sijaelewa hapa, hili kampuni ni la nani? Anaeajiri wahindi ni nani?(mswahili au mhindi?)
hivi bado kuna watanzania wanawaabudu wahindi.?Nyie jamani changieni mada kwa kuwa uliza watu wanao fanya kazi kwenye viwanda vya hao wahindi kwanza wana matusi sana halafu kazi zote wanataka ufanye wewe na matusi wakati mmepangwa mashine moja mimi nilifanya kazi kwenye kiwanda dar nimerudi shamba..Kumbe dar ni ya wahindi sina zaidi tukomae wa tanzania hakuna uwekezaji hapa ni ufisadi tu
Duu... Pole poleni sana, ila hawa wachache mbona, nenda pale Quality group, utafikili upo india, waindi kibao. Afu, ndio tunaambiwa wawekezaji wameongeza/wataongeza ajira, kwa style hii, bora tukashike jembe tuendelee na kilimo kwanza chetu...