Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

Jamii Za wahindi kwa huu ukanda wa africa mashariki sidhani kama wanapendelewa hata kidogo
hawa jamaa WAMEJIPANGA,,, wanajua wanachokitaka na hii ilitokea baada ya Mtetea wanyonge IDD AMIN kuwatimua Uganda..

Hawa jamaa kwa kupitia JUMUIA zao ( UKOO, DINI,)ni watu wanaotumia akili saana kuendelea kutonyonya na kututawala kipesa,, Hawa jamaa ni watoa RUSHWA WAKUBWA saana. wanasiidiana saana, na hata saa nyingine hata kuuwa kama wanaona interest zao zinakuwa jeopardized.....

Ni wajanja kwa maana ya kwamba wanatoa rushwa tena kubwa, wanatumian dini zao kufanikisha mabishara yao, wanakaa katikati ya miji ili kupunguza garama,,, na wakishazeeka wanahamia CANADA kwenda kufia huko,,,,,wengi wa wahindi wa africa mashariki wana URAIA WA CANADA<UK< NA either TZ,UG au KE,,,,ni wanyanyasaji wakubwa saana wa wafanyakazi...kwa Mhindi mfanyakazini Mwafrica ni kama mtumwa tena zaidi ya mtumwa kabisa

Afadhali ya Uganda Amin Alivyowatimua kwa kiasi kikuw=bwa uchumi wa UG uko mikononi mwa watu weusi japo kwa sasa wamekuja kwa kasi na walidai zile mali zao warudishiwe mafano ni wakina Madvan, Mukwano nk,,,Uganda sasa Wakina WAVAMUNO, BASAIJJA wanazidiwa nguvu na hawa jamaa kwa sasa....
 
Kwanza nikuulize wanapendelewa na nani?
Mbona vielelezo vingine umeviacha? Mbona pia husemi kama Wahindi utawakuta wamejaa baa muda wa kazi? mbona huelezi kama hao Wahindi utakwenda Dukani kwao ukakuta wanaongelea ngono na wanawake muda wote? Mbona huelezei kwamba pamoja na kuwa ni wachache < 1% lakini hawajaangamizwa na Ukimwi? Mbona husemi kwamba pamoja na kuwa na wanaishi mjini lakini wamepafanya kuwa sehemu nzuri ambayo wote tunapenda kwenda, linganisha Upanga na Sinza au Kisutu na Kinondoni, na huko kuishi katikati ya mji kwa taarifa yako tu hizo nyumba zote walizijenga wao kwa jasho lao na Bw. Nyerere akafanya kile ambacho Waafrika tunakiweza kuliko vyote Duniani kunyang'anya na kuchukua kisicho chako!

Mwisho nakushauri tu acha kulalamika kama unaona Wahindi wanafanikiwa jifunze kutoka kwao chunguza maisha yao na utagundua kuna mengi ambayo wanayapakipaumbele kuliko wewe na mimi! Badili mwenendo wa maisha utafanikiwa acha kupoteza muda mwingi kushabikia chelsea na manchester na wekeza muda mwingi kwenye ubunifu na mambo ya kimaendeleo na utatoka tu kama hao Wahindi

Mkuuni vema ukawa neutral
kumbuka kipindi chote cha ukoloni Wahindi walikuwa daraja la PILI baada ya Wazungu
Hii iliwasaidia saana kwani waliruhusiwa kufanya biashara na hata shule waliruhusiwa kwenda
Waafrica walinyimwa FURSA NYINGI saana

Tulipopata UHURU wao wakapanda daraja ndio wakawa daraja la kwanza.pia ukumbuke walikuwa na advantage ya kupendelewa kipindi cha ukoloni.. Fursa nyingi baada ya uhuru zikawa mikononi mwao

unapo generalise nashindwa kukuelewa tena hata kidogo.. Nyerere Alifanya jambo jema kubinafsisha kwani kipindi hicho MTU mweusi hakuruhiusiwa kukaa katikati ya mji .......tumia akili kidogo

wanaoharubu SINZA na wahindi hao hao, wameweka magodown wanaharibu barabara ilihali sinza kindondoni yalikuwa maweneoya makazi.... ni hii inafanikishwa na RUSHWA KUBWA WANAZOTOA

Kama UNATAKA KUWAONA MASKINI NENDA MUMbai
 
mimi nashauri walazimishwe kila familia ya kihindi lazima itoemwalim wa msingi,mgambo na dereva walori.
hapo baada miaka 50 unawakuta wahindi wanaitwa chandra mwaijenga,vinod masawe na ranjiit rweikiza.
 
Unajua nini hamna jipya hizo stori nimeshazisikia sana za kutafuta kisingizio cha kila kitu, siku zote sisi tunatafuta tu mtu wa kulaumu, tunalaumu kila mtu na kila kitu isipokuwa sisi wenyewe kama Ukoloni sio sisi Waafrika peke yetu tuliotawaliwa kama ubaguzi sio Waafrika peke yetu, nchi nyingi na jamii nyingi Duniani zilitawaliwa na kubaguliwa ukienda Malaysia Wamalay nao siku zote wakati wa ukoloni walikuwa daraja la chini kama sisi kwanza Wazungu pili Wachina halafu ndio wao baada ya uhuru wakajipanga wakagundua udhaifu wao wakarekebisha mambo sasa wao ndio wanatawala nchi yao, sisi tumeshindwa nini?

Ndio maana nikamuuliza mtoa hoja amesema kwamba Wahindi wanapendelewa hapa Tanzania, nikaamuuliza na nani? Je na Wazungu aua Waarabu? ni nani anaoongooza Serikali yetu ni Wahindi au wazungu Waarabu? ni nani anapanga sera zetu? si ni sisi wenyewe sasa kama sera za nchi yetu tunapanga wenyewe na bado tunawapendelea watu wengine na sio sisi wenyewe basi tatizo lipo kwetu na sio kwingineko!

Kuhusu India sihitaji kufika India kujua kwamba wametuzidi sana na ushahidi uko wazi elite yetu yote ya nchi inatibiwa kwao siajabu hata wewe leo hii ukiugua Mungu akuepushie ukaambiwa uchague utibiwe Muhimbili au India jibu unalo mwenyewe!
lakini hayo yote sio muhimu, muhimu ni kwamba tunafanyaje tujinasue? Visingizio havitusaidii, tumeshasingizia sana mpaka sasa vinaisha na Dunia inaanza kutuona wa ajabu..
Afrika Kusini (waafrika) siku zote wamekuwa wakilalamikia na kusingizia apartheid kwa kila jambo, leo hii wameachiwa nchi na wanayowafanyia watu wao wenyewe hayana tofauti na Ukaburu kuna tofauti gani kati ya Sharpeville Massacre na haya mauaji ya juzi ya Polisi kwa waandamanaji 34?

Fikiri sana na Chukua Hatua!
 
MMBONGO KABLA YA KUOMBA MKOPO ANAFIKIRI NI JINSI GANI ATAKAVYOKIMBIA KULIPA HUO MKOPO. bado unaona watu wenye utamaduni wa kulipa mikopo wanapendelewa
 
Dah!! ni bora ufilisike kiuchumi kuliko kimawazo
Kwanza lazima ujue maisha yanatofautiana kifamilia na kiutamaduni.Utamaduni wa hawa wenzetu umejipanga vizuri na ndio maana ukaona wanafanikiwa kimaendeleo.Tena sio Africa tu hata ulaya wako wengi kuliko kwenu lakini bado wanajiendeleza na utamaduni wao wa kufikiri na kujiendeleza kiuchumi.

Mimi nadhani choyo vilevile inaweza ikakufanya uporomoke kimaisha kwasababu waafrica wengi wanafikiria kuwa tajiri bila ya kuhangaika na maisha.Muda mrefu unaweza kuupoteza kwa kukaa na kikundi cha watu ambao hawana hata uwezo wakufikiri isipokuwa mazungumzo ni kuhusu ngono au utafute mtu akupe ofa ya bia.Wenzenu kwanza wanapendana na kusaidiana kimawazo hata kiuchumi sasa hebu niambie waafrica je mnapendana na kusaidiana kimawazo au kiuchumi?Kwanza tu kama mmoja wenu mambo yamemkubali na akataka usaidizi ktk biashara yake,ujue ataambulia hasara yaani mtu atakomba nyingi kuliko mwenye mali ili amshinde mwenye mali.Japo kuwa anajaribu kumsaidia nduguye kwa ajira.

Na kama huna uwezo wa kukaa mjini mkuu waachie wenye uwezo lakini usijitukane na kusema wahindi wanapendelewa kana kwamba vile wanaitwa ikulu na kupewa nyumba na utajiri.Nyumba zipo nyingi za kununua au za kupanga ni uwezo ulionao ndio utakufanya ufike utakapo.Jifunze kutoka kwao,fanya kazi kwa bidii,wacha kutumia hela hovyo kwa kukata matumizi yasio na umuhimu,wacha ngono uzembe na kuhonga hovyo na tafuta maisha yaliyo na uwezo wako bila ya kuwa na tamaa na kutaka vitu vilivo nje ya uwezo wako.
 
Ukweli unabaki ukweli kuwa Wahindi wanajituma na pia wana malengo, ni watu wanaoaminika kwamba ukimkopesha muhindi atakulipa, ikiwa wahindi wanapendelewa utasemaje kuhusiana na TRA, ni watanzania wa kabila moja tu waliojazana huko lakini hilo halionekani, leo hii wahindi waliofukuzwa Uganda na kukimbilia Uingereza ni miongoni mwa matajiri wakubwa huko UK, nao pia wamependelewa na serikali ya Uingereza? muhindi akifanya biashara akapata kwa mpigo faida ya laki tano mbio atazibadilisha kuwa dollar za kimarekani halafu aagizishie mchele kutoka Thailand, mimi na wewe tukipata kama hicho tunaazia Bar na mpaka ukifika nyumbani ni matusi kwa kwenda mbele, halafu tunalalamika kuwa wahindi hawafi kwa ukimwi!!!!!!!Nyerere kanyanganya mashamba yote ya mkonge , baada ya muda mashamba yakageuka kuwa mapori, mpaka viberenge viliuzwa kama scrap, jee huoni kama kuna mabadiliko baada ya hayo mashamba kuuziwa tena wahindi? uanona kibanzi kwenya jichi la mwenzio kwako wewe kuna boriti huioni!!!!!!!!!! pole.
 
Ni dhahiri kabisa kuwa nchi za afrika mashariki zimekuwa zinakumbatia jamii ya wahindi kama ifuatavyo: .wanapewa kipaumbele na taasisi zetu za fedha kwenye maswala ya mikopo.ndio wanaojengewa nyumba na kukodishiwa na mashirika ya nyumba kwa bei nafuu..ndio jamii ambayo haina wafungwa kwenye magereza .wanaishi katikati ya mji hivyo basi wamezungukwa na huduma zote muhimu
Yaani! ni sawa kama unamsaidia mtoto wa jirani pindi akifaidika wewe atakuacha na ataenda kumsaidia baba yake!
 
Ni dhahiri kabisa kuwa nchi za afrika mashariki zimekuwa zinakumbatia jamii ya wahindi kama ifuatavyo:
.wanapewa kipaumbele na taasisi zetu za fedha kwenye maswala ya mikopo
.ndio wanaojengewa nyumba na kukodishiwa na mashirika ya nyumba kwa bei nafuu.
.ndio jamii ambayo haina wafungwa kwenye magereza
.wanaishi katikati ya mji hivyo basi wamezungukwa na huduma zote muhimu
Kwa kuwa wanasiasa wetu wooote!! bila kujali vyama na itikadi zao wanawasujudia wahindi hata kukemea kwa dhuluma na wizi unaofanywa na hawa majambazi wanashindwa kuukemea.Tanzania hakuna watetezi wa wanyonge wala vyama ni wizi mtupuuuu....

Hili nalo neno ha ha ha ha ha.

mimi nashauri walazimishwe kila familia ya kihindi lazima itoemwalim wa msingi,mgambo na dereva walori.
hapo baada miaka 50 unawakuta wahindi wanaitwa chandra mwaijenga,vinod masawe na ranjiit rweikiza.
 
Ni dhahiri kabisa kuwa nchi za afrika mashariki zimekuwa zinakumbatia jamii ya wahindi kama ifuatavyo:
.wanapewa kipaumbele na taasisi zetu za fedha kwenye maswala ya mikopo
.ndio wanaojengewa nyumba na kukodishiwa na mashirika ya nyumba kwa bei nafuu.
.ndio jamii ambayo haina wafungwa kwenye magereza
.wanaishi katikati ya mji hivyo basi wamezungukwa na huduma zote muhimu

Panda juu kazibe...........Anza kula kuberi,manikichandi na pilipili kwa wingi utajua siri ya mafanikio yao.
 
Hapo umechemsha mkuu, tunaona wabongo kibao wanakuja juu,ukiwachunguza utakuta wanafata system ya wadosi, lakini wenzangu mie wakipata vihela kidogo basi ni kulamba bia na totos pembeni,unasahau nyumbani mpaka ziishe. Tukitazama upande wa rushwa wanazo toa hao wahindi je zinapokewa na nani? Pia kuna wahindi walio pigika kama wewe na wao uwa wana lalamika kama wewe. Jitume mkuu na pia hako kamshahara kako weka akiba,usiendekeze bia na uchi.
 
Kwanza nikuulize wanapendelewa na nani? Mbona vielelezo vingine umeviacha? Mbona pia husemi kama Wahindi utawakuta wamejaa baa muda wa kazi? mbona huelezi kama hao Wahindi utakwenda Dukani kwao ukakuta wanaongelea ngono na wanawake muda wote? Mbona huelezei kwamba pamoja na kuwa ni wachache < 1% lakini hawajaangamizwa na Ukimwi? Mbona husemi kwamba pamoja na kuwa na wanaishi mjini lakini wamepafanya kuwa sehemu nzuri ambayo wote tunapenda kwenda, linganisha Upanga na Sinza au Kisutu na Kinondoni, na huko kuishi katikati ya mji kwa taarifa yako tu hizo nyumba zote walizijenga wao kwa jasho lao na Bw. Nyerere akafanya kile ambacho Waafrika tunakiweza kuliko vyote Duniani kunyang'anya na kuchukua kisicho chako!Mwisho nakushauri tu acha kulalamika kama unaona Wahindi wanafanikiwa jifunze kutoka kwao chunguza maisha yao na utagundua kuna mengi ambayo wanayapakipaumbele kuliko wewe na mimi! Badili mwenendo wa maisha utafanikiwa acha kupoteza muda mwingi kushabikia chelsea na manchester na wekeza muda mwingi kwenye ubunifu na mambo ya kimaendeleo na utatoka tu kama hao Wahindi
Mbona hukumuelewa mtoa uzi amekwambia hawa wahindi wanawezeshwa na serkali! Au? Wewe unaleta mambo ya ulevi na ngono hayo yanahusiana nini bro? Unalaumu ulipo angukia badala ya ulipo jikwaa! Au na wewe muhindi? Ndivyo mnavyo tucheka eeh! Ukumbuke unaposhiba jirani ana njaa hutakuwa na amani!
 
Kwa kuwa wanasiasa wetu wooote!! bila kujali vyama na itikadi zao wanawasujudia wahindi hata kukemea kwa dhuluma na wizi unaofanywa na hawa majambazi wanashindwa kuukemea.Tanzania hakuna watetezi wa wanyonge wala vyama ni wizi mtupuuuu....

Wanasujudia hela mzee sio mtu. Hata wewe kama unazo watazisujudia.
 
Mbona hukumuelewa mtoa uzi amekwambia hawa wahindi wanawezeshwa na serkali! Au? Wewe unaleta mambo ya ulevi na ngono hayo yanahusiana nini bro? Unalaumu ulipo angukia badala ya ulipo jikwaa! Au na wewe muhindi? Ndivyo mnavyo tucheka eeh! Ukumbuke unaposhiba jirani ana njaa hutakuwa na amani!
Serikali si ndio nyie wenyewe? Serikali inamwezesha mwenye hela, hakuna cha uhindi wala unyiramba
 
Kuna mtu aliwahi kunambia kuwa hakuna mtu mbaguzi duniani kama mtu mweusi,either awe mmarekani mweusi,mnigeria,mganda,mmbongo wote ni wabaguzi,kule marekani mzungu akimuita black american 'Nigger' huo ugomvi wake ni balaa lakini wao kwa wao wanaitana na huku wakifurahi!!!
Kwanza nikuulize wanapendelewa na nani?
Mbona vielelezo vingine umeviacha? Mbona pia husemi kama Wahindi utawakuta wamejaa baa muda wa kazi? mbona huelezi kama hao Wahindi utakwenda Dukani kwao ukakuta wanaongelea ngono na wanawake muda wote? Mbona huelezei kwamba pamoja na kuwa ni wachache < 1% lakini hawajaangamizwa na Ukimwi? Mbona husemi kwamba pamoja na kuwa na wanaishi mjini lakini wamepafanya kuwa sehemu nzuri ambayo wote tunapenda kwenda, linganisha Upanga na Sinza au Kisutu na Kinondoni, na huko kuishi katikati ya mji kwa taarifa yako tu hizo nyumba zote walizijenga wao kwa jasho lao na Bw. Nyerere akafanya kile ambacho Waafrika tunakiweza kuliko vyote Duniani kunyang'anya na kuchukua kisicho chako!

Mwisho nakushauri tu acha kulalamika kama unaona Wahindi wanafanikiwa jifunze kutoka kwao chunguza maisha yao na utagundua kuna mengi ambayo wanayapakipaumbele kuliko wewe na mimi! Badili mwenendo wa maisha utafanikiwa acha kupoteza muda mwingi kushabikia chelsea na manchester na wekeza muda mwingi kwenye ubunifu na mambo ya kimaendeleo na utatoka tu kama hao Wahindi

Wanasujudia hela mzee sio mtu. Hata wewe kama unazo watazisujudia.
Basi waache kuuhadaa umma kuwa ni watetezi wa wanyonge wakati huo huo wanaramba miguu ya wahindi wapate pesa.Mimi si mfuasi wa DP lakini nanaipenda sera yao dhidi ya hawa wabaka uchumi wetu.

Serikali si ndio nyie wenyewe? Serikali inamwezesha mwenye hela, hakuna cha uhindi wala unyiramba
Utake usitake uhindi upo na unyiramba upo! Ndio sababu nyani wa afrika ni mwafrika na nyani wa india ni muhindi! Ndio mpango wa Mungu wa taifa kabila na lungha! Na kama serkali ni siye wenyewe! Basi tumepanda bange hatuwezi kuvuna embe! Kalaga baho na ubozi wayago woja!
 
Hivi ndivyo Wachina na wahindi wanavyotuibia kwa kukwepa kulipa kodi TRA

Hivi karibuni nilioenda mitaa ya kitumbini kwenye maduka ya jumla kununua bidhaa za dukani kwangu na nilifanya manunuzi kwenye maduka ya wachina na wahindi.

Nilinunua mzigo wa kama 11m lakini risiti halali za TRA nilizopewa zilikuwa zinaonyesha hesabu pungufu na kwamba eti nimenunua mzigo wa sh laki nane tu . Nilivyouliza wakaniambia ndiyo huwa wanafanya hivyo ili kukwepa kodi

Je TRA mnalijua hili????
 
Back
Top Bottom