nakupata Mkuu.
Wito kwa kinamama wote humu ndani,anzeni kuwa mnaomba mpate mume mwenye sifa za babu DC!
(lakini watch weight msije mkanenepeana kwa raha).
Jamani B'... Zinapokuwepo threads ambazo zinahitaji attention yangu kama hii... Siwezi rusha uzi... For sasa nagawa concetration which is not good... Be patient huo uzi utakuja soon... Hivo naomba usinichape bana.... (Hivi unajua kua mtu mzima achapwi lakini?? )
Konklusheni plizi
Duuuuu,
Brother Bishanga bashaija...waitu kalumuna.....Mbona umefanyia promotion mahali ambapo hakuna njia ya mtu yeyote kufika.....
Hivi vibogoyo nao wanapewa nyama?? Utakuwa tayarii kuwasagia??
Babu DC!!
unastahili Mkuu,kwa mapenzi uliyonayo kwa Madam DC nimekuvulia kofia!
duh, hapa mchango wangu ni kugonga likes tu
duh, hapa mchango wangu ni kugonga likes tu
mhh jamani bila mama zao mngewapata hao watoto au baba zao, mie nitampeda mzazi mwenzangu kwanza then kids, kwanza wote watakuwa wa kwanza kwa kila mtu na nafasi yake, watoto watapendwa kama watoto sababu kamwe hawawezi kuwa partner wangu na baba yao upendo wa kutoka kwangu nao utakuwa wa kipekee
Mbona hujanigongea sasa?
hujambo Hus,za miaka?
Jana nilikuwa nacheki movie moja nikakumbuka huu uzi.
Kuna kijana wife wake alipata ajali akiwa na mimba kubwa ya miezi saba.
Kijana kapigiwa simu yeye na mama yake (mama mkwe) wakaongozana kwenda hospital.
Wamefika hospital; doctor akawaambia hali ni mbaya sana; kuna option mbili; either kumponya mtoto (unborn child) au mama (wife).
Jamaa wala hakuwaza mara mbili akasema mponye wife; mama yake (mama mkwe) wacha amkate jicho akasema the kid is the most important.
But it was sad kwani wife alikufa mtoto alipona; though husband alitaka mkewe aendelee kuishi.
Kwa hiyo nimethibitisha kuwa ni kweli wanaume wanapenda wake zao then watoto.

...mmnh, hapana nyumba kubwa, kwa kesi hiyo hata mimi ningesema aponywe mke!
lohhh...
kuna swalki najiuliza kila mara sipati jibu...
hivi, wivu kwa mume kumpenda (favor) mtoto/watoto wake kuliko mkewe
unalingana baina ya mama mzazi na mama wa kambo?
...nyie kwa experiences zenu mnaonaje juu ya hili...
Umeona sasa NK???
Nimewaeleza sana humu ndani sijui kwa nini watu wamekuwa wagumu kiasi hicho....Ni vigumu sana kusema unawapenda watoto zaidi ya mama yao kama bado mnaelewana. Mkishakutibuana hilo ni suala jingine...But under normal...mke anakuwa nambari wani!!
Ila kwa wale ambao wanauguza vidonda...after the misery of their first marriages...tunawaelewa na kukubaliana nao!
Pia tunawaelewa wanawake wanaposema mtoto ni nambari wani kwao kulinganisha na baba yao (ingawa ni jambo linalowaume wanaume)...Wanawake wanakuwa under the influence ya vitu vingii sana ambavyo msingi wake mkubwa ni biology wakati kwa wanaume ni psychological zaidi kuliko biology!
Mbu pleaaase..........Mama wa kambo ni kiumbe kingine kabisa...Kama ingewezekana, atatamani kutoishi na watoto wako. Mara nyingi wanakubali kwa sababu anapenda kuishi na wewe. Ila under free will and choice...she will go for you alone and only you!!! May be hili nalo tulijadili siku nyingine!!
Kwa mama mzazi...atafurahi sana kwamba unawapenda watoto wake ila ukiwapa attention kubwa atachukia but within limits...Mama wa kambo akiona unajishabadua na watoto wako anaweza hata kuwapotezea mbali ili wamwachie share yake (100%)!
Ni maoni yangu hayo...Ngoja tusubiri na wengine!!
Babu DC
....dahhhh, hivi ee? najua hapo haina maana kuwaua pekee, pia kuna fitna na majungu...ee mungu niokoe mja wako.
kwahiyo kwa mjane mie, ili niweze kuishi kwa amani mpaka roho itapoacha mwili unanishauri bora kutooa?
hapana bana, ili ku balance hii equation inabidi nimtafute mke ambaye naye ana mtoto wake ngoma iwe draw!...au unanishauri vipi mtu mzima?