Mdahalo: Kids Vs Spouses

nshakwambia fungua uzi wa 'watoto wa nje' tujimwage hapa,mbona husikii,ntakuchapa!
 
Dah! nimevumbua! Nimevumbua aisee

Kumbe unaweza ukajiPM mwenyewe hapa JF ukiamua.

Hii ni habari njema kwa wale wanaojiskia lonely.

enhee tuendeleeni na mjadala wajameni.
 
Orait hebu kagua apo juu nimekugongea nini?
Hiyo makitu uliyogonga ndo chakula yangu. Hebu mwambie na Shem akanigee maji ya kunywa kwenye hiyo yuziful posti.
 
Sasa wifi oups sorry shem, mbona humwambii hubby naye aje anigongeeka-like? Mi bila kugongewa ka-Like huwa najihisi kama mochware inanitafuta!

Kabla sijaenda mbali hebu jieleze hapo.... Kama familia yenu imenichoka mko wazi kusema... itauma but life will go on!

Mimi Like sigongi na nakusimamisha uanachama bila malipo kwa wiki hii utakayokuwa na hii ratiba (for I know its only one week huwezi kuifata) hadi utubu kwa nini umetoa the obvious?:smash:

Kaizer dear naona wanitafuta maneno Mpenzi...

Kama ni hivyo, hapo kwenye jumanne na jumatano pa-edit kidogo ufute hilo neno grants........ Hommie akikamata hiyo makitu unaweza omba likizo urudi kwa wanao.......(his last girlfriend used to call him horse rider!)LOL

Gosh!!! To think that what i call him is almost close... (the galfriend didn't get half of what i am getting if she called him that!!)

Kwa hisani ya watu wa Libya, leo sitaki kumuuzi shem wangu! Hii ni ratiba ya mwezi mzima I mean mwaka mzima wa 2010.

Shemeji sometimes i don't know why i love him.... Yaaani hunifinyanga this heart of mine mpaka basi.... BUT I am telling you his days are numbered.... Wee shahidi yangu.... (PA anajua mpango mzima! this is madness Khhaa!)
 
Mzee DC Nimekupata.... Na nitafuata kila neno la hii post.... THANK YOU. Ni maneno ya msingi ambayo umeyatoa angle ambayo sikutazamia, hivo appreciated saana. Usishangae kwa post hii ukiambiwa kesho wewe ni mimi....lol
 
Sasa wewe unanipa usongo sasa...Ngoja kwanza niende lunch..Nitakuja kuomba ushauri nipate pa kuanzia!!

Hope hutanibania!

Siwezi kukubania.... Kwanza kabisa anza na The Boss... guide to Nyumba ndogo.... Ukimaliza hio ni PM.... Nikupe muendelezo wa Muongozo....
 
Shem nikikonect dots kwenye hizo bold............... Looooooooo! Without you our family will never be the same! Futa kauli yako!

And who is this PA and what does PA stand for? For am planning to assassinate some one! Gaddafi is lonely upthere......
 
Dah! nimevumbua! Nimevumbua aisee

Kumbe unaweza ukajiPM mwenyewe hapa JF ukiamua.

Hii ni habari njema kwa wale wanaojiskia lonely.

enhee tuendeleeni na mjadala wajameni.
Aisee we mwongo aisee. NimejiPM haijafika. Inawezekana umejiPM kwa ile ID yako nyingine habu kagua vizuri afu fanyia kazi uvumbuzi wako.

Jibu unitumie kwa PM kwenye ile ID yangu ya sita.
 
nshakwambia fungua uzi wa 'watoto wa nje' tujimwage hapa,mbona husikii,ntakuchapa!

Jamani B'... Zinapokuwepo threads ambazo zinahitaji attention yangu kama hii... Siwezi rusha uzi... For sasa nagawa concetration which is not good... Be patient huo uzi utakuja soon... Hivo naomba usinichape bana.... (Hivi unajua kua mtu mzima achapwi lakini?? )
 
Shem nikikonect dots kwenye hizo bold............... Looooooooo! Without you our family will never be the same! Futa kauli yako!

And who is this PA and what does PA stand for? For am planning to assassinate some one! Gaddafi is lonely upthere......
heheeh hapo red hapo
 
Aisee we mwongo aisee. NimejiPM haijafika. Inawezekana umejiPM kwa ile ID yako nyingine habu kagua vizuri afu fanyia kazi uvumbuzi wako.

Jibu unitumie kwa PM kwenye ile ID yangu ya sita.

Unatumia Nokia tochi? hehehe hapa leo tangu asubuhi najiPM tu.
 
Yani nieamini mkiishi pamoja kwa muda mrefu mkiwa mnapendana kila kitu kinafanana. Yani shem mwandiko wako umefanana na wa hommie huwezi amini. Au umemwibia penseli yake?
 
Natumia Blackberry ya kichina nimenunua kwenye duka la simu used pale Magomeni Makuti!
Kama ina antenna, elekezea makambako, huko ndo kuna mnara wa kuunganisha self service PM.
 
Kama ina antenna, elekezea makambako, huko ndo kuna mnara wa kuunganisha self service PM.
Hahahahaha......... dah! Kama nimeielekeza makao makuu ya Vodacom lakini netiweki imegoma nikiielekeza makambako si katalipuka? Nimestuka!
 
Shem nikikonect dots kwenye hizo bold............... Looooooooo! Without you our family will never be the same! Futa kauli yako!

And who is this PA and what does PA stand for? For am planning to assassinate some one! Gaddafi is lonely upthere......

Ohoo!! Memo haikufika??? PA ni obedient kid bro wa Sweetie maarufu kwa The Finest....lol

(Yale yalikua majigambo tu!! Hivi unaamini naweza ishi nje ya hio familia?? Sina kabisa ubavu... I will die!)
 
Hahahahaha......... dah! Kama nimeielekeza makao makuu ya Vodacom lakini netiweki imegoma nikiielekeza makambako si katalipuka? Nimestuka!
Natamani muendelee hivi hivi tablets!
 
you know what babe...you don wanna know coz thats the reason to love in da first place

baada ya hayo, hommie hebu do ze nidiful msimu huu wa maombolezo ya Ghadaffi, uje na grants chupa mbili. we ntakutengenezea Gin tonic
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…