Nyie watu hapo juu,
Ahsanteni kwa michango yenu.
Kuanzia sasa ratiba ya ODM itakuwa kama ifuatavyo:
Jumatatu na Jumanne ni siku za mapenzi kwa watoto.....wife atanisamehe
Jumatano na Alhamisi ni siku za mapenzi kwa mai waifu na ka-grants kiduchu.......watoto wataniwia razi
Ijumaa na Jumamosi ni siku ya mapenzi na Bia, bia, bia,bia na nyama choma, afu mabia mabia mabia afu mabia tena!
Jumapili ni siku ya mapenzi kwa wote yaani tena kwa mpangilio huu Waifu, Watoto, Bia afu waifu tena!
Nadhani mmeona hapo hamna ratiba ya nyumba ndogo.......... mtanisamehe wajameni!
Baada ya kusema hayo ngoja nirudi kitandani kuangaliwa watakaonigongea ma_LIKE kwenye hii yuziful ratiba!
niongezee tu, na kuwaelewa pia....
[h=3]Product Description[/h]Set in a big city in Africa, covering only a few days of Walter and Ingrid's life, the story develops in a surprising and suspenseful way. Through the struggles of the people they are trying to help, both find themselves facing unexpected challenges to their own marriage. Nothing in this book is fiction. All the stories have really happened. All of the conversations have really taken place. The people involved are still living today. The setting of these events is Africa, but the problems dealt with are relevant to all parts and to all cultures. --This text refers to the Kindle Edition edition.
Ngabu imagine you feel sad you have been associated with my ID tu (sijui huko nyuma).... Just imagine angalau for a bit how it makes me really really sad in three months nimekua associated with more than five members... Inaniuma saana; yawezekana ni njia ya kunikimbiza JF BUT sasa naona it is working... And I WISH Kama kuna member ana jibu la where I am going wrong na hizi ID za watu aniambie.... NITASHUKURU SAANA nipate fafanuzi na solution ya hii kitu!!
BTW (ODM Nisamehe kwa uchakachuzi nimeomba ruhusa kwa PAW)
Nimekuangalia sana, hujanigongea ka-like pale!...........Ole wake atakayeikopi ratiba yangu.......... ile ni Copyright Reserved!Hahahahaha babu nafurahi sana kuona kwamba nyumba ndogo is not a priority!!!
Ratiba imetulia na imekaa vizuri.
Hapo kwenye biya ..biya..biya ungesema ni siku ya mapenzi kwako wewe mwenyewe.
Kujiandaa kwenyewe sindo nnakokuongea babu???
Au.............?
I agree with the uncertainity part...but that doesn't rule out the posibility.
The possibility will remain and that's just that....Ikiwa nna uwezo wa kuepuka kitu kabla hakijatokea hata kama uwezekano wa hicho kitu kutokea ni mdogo ntaepuka badala ya kusubiria kitokee alafu nisiwe na chakufanya.
mkuu hili neno siku mbilitatu hizi limeleta mtafaruku angalia usiamshe waliolala lol....
Kuoooooohoooo Mkuu unaleta mambo ya 'nyumba ndogo' tena kwenye uzi huu,unataka watu wapelekwe icu? Yaache huko huko kwa RussianR na The Boss.ndugu yangu siku hiyo huwa tunasema kila kitu,ila reality iki set in..du ndo unaanza mambo ya ningejua na mwisho unaanza kutafuta mlango wa kutokea,wakati huo sasa ndo mna watoto,joint account,shareholders pamoja kwenye kampuni yenu inayokua kwa kasi,nyota yako ya kisiasa inakua kasi na wewe mnajulikana as a couple...we acha tu,mwisho mnaishia kutengana vyumba ili ku maintain the facade.[/QUOT
Mkuu haya mambo yapo sana ila ndo hivyo mlango wa kutokea ni mgumu sana
Kama ni shetani wako utaishi naye hivyo hivyo maisha yako yote na hizo account na share kwenye kampuni zitaendelea kuwa the same
Huna budi kukubaliana na reality na kuendana na mkondo wa maji unakoelekea maana huwezi kuugeuza mto upande mlima
Na kukuballiana na mto unakoelekea ni kukubaliana na mkeo na kuuchulia ndo msalaba wako maana kama sivyo ndo mwanzo wa nyuimba ndogo unakoanzia
m
I feel your pain. You can't control people's mouths or thoughts. The best you can do is brush all the nonsense off though I admit it's not all that easy.
Have a happy Friday, be good, stay out of trouble, and don't do anything that I wouldn't do! Lol!
Nimekuangalia sana, hujanigongea ka-like pale!...........Ole wake atakayeikopi ratiba yangu.......... ile ni Copyright Reserved!
Hivi unam PM mtu halafu mnapanga mkutane sehem unaenda mara unamkuta mpenzi wako anakusubiri utatoka nduki au?
Nilikosa muda wa kuyapitia hayo mathread...Ngoja nitafute nguvu ya bwana ili nikachungulie!
Nyie watu hapo juu,
Ahsanteni kwa michango yenu.
Kuanzia sasa ratiba ya ODM itakuwa kama ifuatavyo:
Jumatatu na Jumanne ni siku za mapenzi kwa watoto.....wife atanisamehe
Jumatano na Alhamisi ni siku za mapenzi kwa mai waifu na ka-grants kiduchu.......watoto wataniwia razi
Ijumaa na Jumamosi ni siku ya mapenzi na Bia, bia, bia,bia na nyama choma, afu mabia mabia mabia afu mabia tena!
Jumapili ni siku ya mapenzi kwa wote yaani tena kwa mpangilio huu Waifu, Watoto, Bia afu waifu tena!
Nadhani mmeona hapo hamna ratiba ya nyumba ndogo.......... mtanisamehe wajameni!
Baada ya kusema hayo ngoja nirudi kitandani kuangaliwa watakaonigongea ma_LIKE kwenye hii yuziful ratiba!
Kama ni hivyo, hapo kwenye jumanne na jumatano pa-edit kidogo ufute hilo neno grants........ Hommie akikamata hiyo makitu unaweza omba likizo urudi kwa wanao.......(his last girlfriend used to call him horse rider!)LOLKhaaa!!! You Darling shem of mine... all those LIKES.... Bado tu....lol.. Muache mtoto bana! (Hio ratiba kwa ruhusa ya PAW nampelekea hommie)
THANKS Ngabu... In red... Thank you kua umeliona hilo... In blue.... You maybe surprised....lol... That labda ni bora hata it is beta i do exactly that!
Kwa hisani ya watu wa Libya, leo sitaki kumuuzi shem wangu! Hii ni ratiba ya mwezi mzima I mean mwaka mzima wa 2010.Mimi Like sigongi na nakusimamisha uanachama bila malipo kwa wiki hii utakayokuwa na hii ratiba (for I know its only one week huwezi kuifata) hadi utubu kwa nini umetoa the obvious?:smash:
Hivi Darlingtone yuko wapi Bishanga
Khaa!!! Yaani baada ya jana kutoa ushauri leo hii unanigeuka, halafu nasikia siku hizi kuna Phd za heshima za Infidelity sasa sijui nani anazitoa au ni wewe Asprin.
Dah!! Hadi na wewe unanikaanga kwenye mafuta hivi unaweza ukawa na miaka 19 halafu ni kijeba
Bishanga haya maswali ngoja nikapige desa kwanza ingawa swali la kwanza kwenye nyekundu liko valid
Mzee DC... Nakushauri usome ukiwa umeshiba kabisa... na kinywaji pembeni... kwa hisani ya watu wa Marekani....
Kwa hisani ya watu wa Libya, leo sitaki kumuuzi shem wangu! Hii ni ratiba ya mwezi mzima I mean mwaka mzima wa 2010.