Mdahalo: Kids Vs Spouses

Babu asante kwa mada nzuri..maana imefanya watu wakijichunguza kiundani kweli kweli.

Pili asante kwa kukubali kuelewa kwamba mapenzi kwa watoto na wenzi hayafanani....sasa turuhusiwe kuchakachua thread maana imeshafanya kazi na matunda yameonekana!!!
 


Lizzy THANK YOU For this USEFUL Post....
 
usimwonee TF bana,kijeba huyo sema tu kachelewa kupata my wife wake,sijui tumpe Darlingtone,au unaonaje? (though roho itaniuma sana)
Hivi Darlingtone yuko wapi Bishanga

Khaa!!! Yaani baada ya jana kutoa ushauri leo hii unanigeuka, halafu nasikia siku hizi kuna Phd za heshima za Infidelity sasa sijui nani anazitoa au ni wewe Asprin.

Mkuu kuhusu TF umepatia sana sana maana jamaa ni kijeba mbaya kachelewa tuu kuingia kwenye hii institution ya marriage
Dah!! Hadi na wewe unanikaanga kwenye mafuta hivi unaweza ukawa na miaka 19 halafu ni kijeba

Bishanga haya maswali ngoja nikapige desa kwanza ingawa swali la kwanza kwenye nyekundu liko valid
 

Why don't you just ignore the allegations all together??Don't pay much attention maana kwa kufanya hivyo unawafaidisha wanaoanzisha hayo madai. Na kwakua wanapenda kuona unavyoreact wanaendeleza na kukufuata nayo kila mahali hivyo inawapa nafasi ya kuongeza wafuasi wenye mawazo ya aina hiyo.

Wapotezeee....baada ya muda yatapotea.
 



THANKS... I think hio ni one of the BEST Solutions... Tatizo i think nina kihokora ambacho inabidi nifanyie kazi niwe good at ignoring of which I am not..... But Kweli kabisa i will try kufanya hivo...
 
Wakuu katika this thread... Nimesoma kila Post na zimekua very very insightful... Kama shemeji yangu ODM alivosema katika libandiko lake lirefu la mwisho... The Great thing kuhusiana na hii topic ni the fact kua Most wameongea out of one's own expreriences on the matter... I really look forward to other Great discussions kama hizi... Yaani hata mtu ambae hajachangia anaona raha kusoma thread no matter the number of pages....
 
Lizzy THANK YOU For this USEFUL Post....

Asante mpendwa!!!

THANKS... I think hio ni one of the BEST Solutions... Tatizo i think nina kihokora ambacho inabidi nifanyie kazi niwe good at ignoring of which I am not..... But Kweli kabisa i will try kufanya hivo...

Well umeshajaribu kujieleza /kuelewesha na kuwajulisha watu kwamba madai hayo sio sahihi (which is the best solution) but it didn't work. Mpaka hapo jua kwamba watu unaodeal nao sio waelewa au hawataki tu kukuelewa....they just enjoy seing you all worked up. Kilichobaki ni kutowapa hiyo nafasi ya kukuona ukihangaika kujitetea kila leo...take the fun out of it...they 'll get bored soon enough!
 

Nakubaliana na wewe kwa 100%
 
Si tumekubaliana kuwa you put me first hayo mengine nitakuachia uwe unampa yeye first priority hivi bado yuko online nilimuona yuko busy ana:smash: computer yake.
 

Sweetie ndo nini kunisema ivo lakini...yaani mimi kwend akuangalia shamba mvomero, kurudi nimekuta pages 19, please naomba summary walau...
Ila PA apo juu nikikukamata.....
 



Lizzy... WELCOME BACK.... This is one of the Reasons hapa MMU tuliku MISS.... Asante Dear...
 
Si tumekubaliana kuwa you put me first hayo mengine nitakuachia uwe unampa yeye first priority hivi bado yuko online nilimuona yuko busy ana:smash: computer yake.

Hii tutai-resolve wakati yeye hayupo or else atatunyang'anya Bundle allowance.....lol

Sweetie ndo nini kunisema ivo lakini...yaani mimi kwend akuangalia shamba mvomero, kurudi nimekuta pages 19, please naomba summary walau... Ila PA apo juu nikikukamata.....

Sweetie Summary kisha toa ODM hii hapa chini... na TAFADHALI Usome post zoote Kuna maswali nitakuuliza kuhakikisha hilo!!! lol Pole na shamba Mpezi....



TAKE NOTE: PAW is Watching..... (BTW mimi na wanao nani zaidi???)
 

Hapana Lizzy,

Hapo umechanganya mambo...Kwa watu wengi, ndoa ya kwanza na ya pili ni tofauti sana. Sijawahi kuwa kwenye hali hiyo ila uzoefu wangu unaonesha kuwa hakuna mtu anaishi kwenye ndoa ya pili na kubaki kama alivyokuwa kabla ya kuoa/olewa mara kwanza.


Binafsi huwa naamini nikioa mke wa pili atapata taabu kwa sababu sina hakika kama nitampa namba 1 kama my first wife. These are two different worlds and those who have gone through it will confirm my words!
 

Babu sijasema kwamba kwa hakika ndivyo itaavyokua, tatizo ni kwamba hamna namna ya kujua huyo mke/mume mwingine atapewa nafasi gani.
Nikishajua kwamba kwangu yuko hivyo napata ufahamu kwamba KUNA UWEZEKANO akawa hivyo hivyo kwa mwingine ikitokea mimi na yeye tukatengana/tenganishwa. Na huo uwezekano ndio nnaouogopa.
 

Sasa nakubaliana na my dear wife, MwanajamiiOne, Lizzy, klorokwini, The Boss,Mbu, MTM, Nyani Ngabu na wengine wote kuwa upendo kwa spouses hauwezi kulinganishwa na upendo kwa watoto. Ni vitu viwili tofauti kabisa

nadhani nimeeelewa sredi sasa cause hiyo ndo summary yake hakuna maneno mengi

baada ya kusema hayo love, twen zetu tuaonyeshane upendo wa kispouse kisha tuwaonyehe watoto wetu upendo wao wa kiagape....
 
Mkuu DC,hapo kwenye red,may be...just maybe.....in good times yes.....likitokea anguko litokanalo na kishawishi you will definately run to your mom,au?

Ndiyo maana yake mkuu....Huwezi kufanya mambo kinyume eti kwa ku-anticipate yanaoyoweza kujitokeza katika bad times!! Ikotokea hali tofauti na hii ya sasa (normal) tutaishughulikia wakati huo. Sina hakika kama kuna uwezekano wa kudeal na unanticipated abnormals!

Kwa sasa narudia kusema kuwa my wife ni nambari wani....Likitokea jambo tofauti na hilo tutalishghulikia wakati huo....Siwezi kuanza utabiri wa shekh Yahya katika hili!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…