Questt
JF-Expert Member
- Oct 8, 2009
- 3,010
- 422
Hapa ni kutunishiana Msuli kati ya Chadema na CUF. Sidhani kama kutakua na Muafaka hapa. Pale walipoandamana kudai mambo yao manne hadi vijana 45 wakapoteza maisha Chadema walikua wapi??? Ila hajasema waliowaua hao 45 walichukuliwa hatua gani???? au why walikufa??? he ddnt say.......