Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,404
- 100,603
ngumi zinarushwa hapa jamani balaaa mbowe mbiooooooooooo
Dahh, noma hiyo hapo ni kwenye mdahalo, bado bungeni sasa, ntaomba kazi ya urefa wa ngumi bungeni
ngumi zinarushwa hapa jamani balaaa mbowe mbiooooooooooo
hapo hujaeleweka FUC NININI?FAFANUAMbona upande wa FUC kuna vibaragashia na hijabu nyingi sana.?
Mi naona afadhali hawa jamaa wangekaa kikao na kuonglea hizi issue zao, hazikuwa na umuhimu wowote kufanya mdahalo.
It can be a move towards that brother....kumbuka its another way of creating popularity...........
Duuuuh WAMEKATA UMEME... wakati Kubenea anauliza swali...
Ndibalema ni kweli Dada Rose alitaka kuharibu, mwanzoni aliwabeba Chadema na kumsupress Hamad hali iliyopelekea manazi wa CUF kupiga kelele na kuleta fujo.Mdahalo unaharibiwa na wauliza maswali pamoja na ubabe wa mwenyekiti.
hapo hujaeleweka FUC NININI?FAFANUA