mdahalo gani huu usio na mwisho?
wacha ubaguzi wakijinga wewe,hamad ni mtanzania kama wewe au nawewe kama nimchaga utakua sio mtanzania?hii dhambi ya ubaguzi ndio itawaangamiza nyie chadema..huyu Hamadi ni Mpemba, halafu anataka kuja ku-dictate jinsi gani wa-Tanganyika waendeshe shughuli zao.
..huu mdahalo bora ungekuwa kati ya Chadema na wabunge wa CUF-Bara, au kati ya Mbowe na Prof.Lipumba.
mbona upande wa fuc kuna vibaragashia na hijabu nyingi sana.?
Nicky82 hongera sana kwa reporting ya kiwango cha kimataifa.
kwa nini tunafanya mdahalo kati ya chama cha znz na chama cha tanzania bara?
Mdahalo unaharibiwa na wauliza maswali pamoja na ubabe wa mwenyekiti.