sasa Ccm imetoka wapi na kwanini hawa cuf waanze fujo! Toka wamehongwa umakamu zanzibar kwishney
Hua haturipoti hivyo hapa kijiweni
Mbowe anajichanganya. Anaitambua serikali...
Hamad Rashid anaongelea malengo waliyojiwekea.
Lengo zima la chama cha upinzani ni kuwa "watchdog" wa chama tawala - swali la ziada la dada anayetaka kuitoa nishai CUF. Kama kawaida Hamad Rashid anapangua kisomi. Pole mama...
CHADEMA wameshirikiana na CCM Kigoma so swala la kushirikiana na CCM haliepukiki. CHADEMA wanafiki, anawavua nguo.
Kila chama cha siasa kina utaratibu wake na sera zake
Mbowe...swala la msingi - Alimwambia HR kwamba visiwani wako pamoja na CCM, sasa huku itakuwaje? Inaelekea Mbowe alishaamua kuwatenga kwa sababu ya serikali ya kitaifa visiwani.
Mbowe anazidi kujikanyaga kwa kusema wenzao wana muafaka na anasema muafaka umeadhiri katiba?!!
Anajifanya kwamba alikuwa na dhamira ya kushirikiana na CUF, anajikanyaga kwa kusema CUF walikubali kiimandishi. Anajaribu kuipa CUF lawama kwa kusema kura zilipigwa kwa CCM. Anasahau kwamba kura ni haki na siri, huwezi kumforce mtu akupigie.
HR anambomoa vibaya. Huyu Rose yuko upande wa CHADEMA wazi!!!!!!!! Mpuuzi amejiexpose!!!
Usifikiri sisi hatuangalii, wewe kama una hamu kuripoti habarisha hatuhitaji comments zako kwanza hujatumwa na mtu unaweweza kuchapa lapa, mambo ya ku comment yatafuata baadae, au kama huwezi kuwa neutral acha kina Superman wenye ujuzi waripoti tutolee upenzi wako.Well done Hamad!
CHADEMA ni wanafiki amewavua nguo. Wanajifanya wasomi na wanazingatia maslahi ya taifa wakati ni Chui wamevaa ngozi ya kondoo.
Mbowe anazidi kuchemsha - sasa anasema anakubaliana na CUF. Huyu mtu anajikanyagakanyaga. Njia ya muongo FUPI!
Sio wewe peke yako tu unayeangalia tv. Kama unataka ku report, report. Analysis yako fanya baadae.Well done Hamad!
CHADEMA ni wanafiki amewavua nguo. Wanajifanya wasomi na wanazingatia maslahi ya taifa wakati ni Chui wamevaa ngozi ya kondoo.
Mbowe anazidi kuchemsha - sasa anasema anakubaliana na CUF. Huyu mtu anajikanyagakanyaga. Njia ya muongo FUPI!
Tunaomba yanayojiri kwa sasa analysis tutafanya kesho na ushabiki tutanzisha thread yakeWell done Hamad!
CHADEMA ni wanafiki amewavua nguo. Wanajifanya wasomi na wanazingatia maslahi ya taifa wakati ni Chui wamevaa ngozi ya kondoo.
Mbowe anazidi kuchemsha - sasa anasema anakubaliana na CUF. Huyu mtu anajikanyagakanyaga. Njia ya muongo FUPI!
Ndio kijiwe cha CHADEMA. Mnataka niandike uongo? Niwasifie hata mkichemsha?
Mh. Rashid ametuliza ukumbi....ni wazi muendesha mdahalo hawezi kuendesha mdahalo kwa sababu yuko biased. Watu wanamsikiliza Mh. Rashid kwa sababu anaongea ukweli WAZI!