Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Swali linaulizwa mara wamekatika????????????? whats wrong????? Ni wadhamini sasa......ITV jaribuni kuwa serious next t....
 
swali kwa mbowe: Chadema walilalamikia viwango vya posho je wataendelea kupokea au?
 
swali lingine kwa mbowe kwa nini aliwaalika CUF tu na sio vyama vingine, anaanza kujibu hili

Wao walianza na CUF ili kupata msimamo na walimwalika na mrema, na cheyo hakuwepo. hajacomment kuhusu nccr.
 
Mishahara ya wa wabunge ni kuwa wangeriview kama wangekamata serikalim, hawakukamata kwa hiyo hawana access nalo.

Ushirikiano na vyama vingine: setrikali za umoja wa kitaifa unaundwa wakati wa dharura na klutolea mfano znzr,knya,zmbabw.
sio kweli kwamba alisema hawataki kushirikiana na CCM wao kama wapinzani watashirikiana,
serikali za mseto ansema ni vema kuwe na upinzani sio kwamba vyama vyote viwe upande mmoja
 
kuhusu zile halmashauri wanzoziongoza watacheck balance ili kuoanisha sera zao na za cha serikali
 
mdahalo unaendelea tena na sasa wanajibu maswali wote mbowe na hamad kila mmoja kwa mda wake.
 
Mishahara ya wa wabunge ni kuwa wangeriview kama wangekamata serikalim, hawakukamata kwa hiyo hawana access nalo.

Ushirikiano na vyama vingine: setrikali za umoja wa kitaifa unaundwa wakati wa dharura na klutolea mfano znzr,knya,zmbabw.
sio kweli kwamba alisema hawataki kushirikiana na CCM wao kama wapinzani watashirikiana,
serikali za mseto ansema ni vema kuwe na upinzani sio kwamba vyama vyote viwe upande mmoja

Huyu Mbowe is a joke. Yaani swala zito kama katiba anataka kulishughulikia, lakini swala light kama mishahara anakili kulishindwa! Huu ni utani jamani.
 
Hamad anasema wao watasimami rasilimani kwenye majimbo yao wanayoyasimamia na ni jukumu wabunge na madiwani kuhakiksha wanasimamia
 
Hivi kwa nini Mzanzibar aongelee mustakabali wa Tanzania Bara, ana interest gani?
 
CUF wanasema wapinzani wakiwa makini watazibiti matumizi
 
Back
Top Bottom