Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Swali la 1. Sura ya upinzani bunge lililopita lilikuwa na vyama vyote vya upinzani lakini bunge hili la kumi linawabunge wa chama kimoja tuu cha upinzani.

Mh. Mbowe - Jibu:- Kanuni za bunge zinatoa bayana jinsi ya uundwaji wa kambi ya upinzani bungeni, bunge la 9 hakukuwa na chama kilichokuwa na sifa yakuunda kambi ya upinzani bungeni kwa kuwa hakukuwa na chama kilichokuwa na 12.5% ya wabunge wa kuchaguliwa.
Bunge la 10 Chadema inasifa ya kuunda kambi ya upizani lakini waliwaalika CUF na majibu ya hamadi ilikuwa kama ifuatavyo:-
1. Chama chenu kina manifesto yenu, na hamna issue ya serilkali ya kitaifa
2. Makovu yaliyotokana na uchaguzi, dhidi ya CUF na vilevile NCCR inabidi myatibu kwanza
3. Alidai kuwa wenyewe walikuwa tayari wanakutana na vyama vingine vya upinzani kuunda kambi yao ya upinzani.
 
naona hamad anazungumzia suala la serikali ya umoja wa kitaifa pia anawalaumu chadema kwa nn hawamtambui rais.
 
Hamad anasema wao wana sera ya ya serikali ya umoja wa kitaifa tangu mwaka 2005. chadema hawana kwa hiyo hawezi kuunda kambi nao.
Pili hawezi kuunda kambi na chadema sbb wao wanaitambua serikali chadema hawaitambui
 
Hamad anasema hawezi kuunda serikali na CDM hadi pale CDM watakapoitambua serikali kwanza
 
wengine tupo mbali na tv, tafadhali tujulishe yanayojir kwa mtiririko tupate uhondo na sie
 
naona kama presha ya hamad imepanda, anaulizwa kuhusu suala la makubaliano ya zenji ambayo hayakuzingatia vyama vingine, ni serikali ya umoja wakitaifa au wa vyama vya ccm na cuf?
 
swali kwa CUF, kule nzbr vyama vidogodogo havikuhusishwa. je huo muungano ni wa umoja wa kitaifa au ni wa CCM na cuf tu? anajibu hamad
 
Hamad anajibu swali:- Anadai kuwa kuna madonda mengi yametokea yamesababishwa na CDM wakati wa uchaguzi CDM walidai kuwa ndoa ya upinzani imevunjwa na kuwa kuna sehemu hawakutakiwa kuweka wagombea wa ubunge lakini wao waliendele na kuweka wabunge, vile vile hawawezi kuungana na CDM kwa kuwa CDM hawaitambui Serikali. anataka watibu madonda na waitambue serikali.
 
Hamad ansema wao walizingatia vile vyama vilibvyokuwa na ushindani na walitaka vitakavyoshirikishwa ni lazima viwe atleast 5%b na sbb hakukuwa na chama kingine kuilichofikisha ndio maana waliunda wao na ccm tu
 
CUF haijashiriki katika kuunda kambi ya upinzani kwa sababu wao wanaitambua serikali.
 
I thought its just some few of us didn't understand Chadema Moves back in Dodoma. Kumbe hata CUF didn't understand it?????? Where are we Heading??? Hamad Could atleast say anatambua sababu ya chadema kufanya walichofanya.
 
endelea kutupasha mkuu maana wengine tuko mbali na miji
 
Mbowe anajibu kuhusu sababu za wabunge wa CHADEMA kutoka nje wakati wa hotuba ya rais bungeni.
 
Mbowe anatolea maelezo ya kutomtambua rais.
anasema kwa mujibu wa katiba kumtambua kumtotambua rais hakujaandikwa kwenye katiba,
 
Anasema chadema hawajasema kuwa hawaitambui serikali, wao wanapinga kuwa matokeo yana mushkeli.
 
Hamad anatumia Dr. Jk Mbowe anamuita just JK........Is this that Mbowe hakubaliani na PHD ya JK??????
 
Back
Top Bottom