Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Mbowe anasema bunge zima kuna viti 105.NEC iliwartaka wapeleke siku 30 kabla ya uchaguzi, walipeleka majina kabla ya uchaguzi
vigezo walivyotumia vilipitishwa na kamati kuu ya chama, na marks zilitolewa kwa msaada wa wataalam kutoka chuop kikuu.
Vigezo vikuu ilikuwa ni elmu, na kilwa kiwango kilikuwa na marks:

Elimu:
PHD=10
mastrz=8
degree=6
diploma=4 n.

pia umri wa mgombea kwenye chama:
vigezo vingine ni uzoefu, waliogombania majimbo, nk.
 
MBOWE Anazungumzia viti maalum, asasema ni kweli tume iliwataka wapeleke majina ya viti maalum, siku 30 kabla ya UCHAGUZI, na wao walipeleka siku 30 kabla ya uchaguzi

Kuhusu vigezo vya Viti maalum

-elimu- PHD =10 MARKS, MASTER=8
-Umri wa mgombea katika chama, kuanzia miaka 10= 5marks
-michango ya muhusika
-Aliyegombania jimbo la uchaguzi, pia anapewa marks
 
Mbowe - Viti maalum ni 105

Tume ilitaka majina siku 30 kabla ya Uchaguzi. CHADEMA walitaka wapeleke majina baada ya uchaguzi. Vigezo vya kuwapata wabunge maalum vilipitishwa na kamati kuu ya CHADEMA.

Vigezo/mambo yaliyozingatiwa:-

- Elimu
- Uanachama (umri ya mwanachama katika chama)
- Uzoefu
- Michango katika chama
- Wakina mama wangapi walikwenda kwenye majimbo

Maazimio ya kamati kuu.

Anaongelea vigezo ili kupoteza muda badala kujibu swala la msingi na huyu Rose anamwachia apoteze muda. Ujinga gani huu?!
 
Mbowe anasema waliolalamika ni kwa sababu labda vigezo havikutosha au hawakufikiwa kwenye list
 
Maswali yanakaribishwa na yawe ni ya kitaifa sio chama
 
Insurgent wengine tuko mbali ya TV na Redio. Kama unareport tupe mtiririko wa matukio vinginevyo hautendi haki. unaweza kufikiria kuacha kuposti kama huwezi kuwa neutrali. Hii itasaidia zaidi na tutakuona shujaa.
 
Insurgent bwana! Toka lini ukaipa credit Chadema? Huo ni mwendelezo tu wa chuki zako against CDM, na wala haihusiani na ukweli.
 
swali la kwanza toka kwa dalia kwenda kwa Mbowe: Kushirikiana na CCM ni kuua upinzani , sasa yeye hataki kushirikiana na CCM, je hawana mpango wa kushika dola? huyu anamaanisha serikali ya mseto nafikiri
 
Politically Hamad ni Proff. Koz jamaa anajibu maswali Kitaalamu sana.
 
Insurgent wengine tuko mbali ya TV na Redio. Kama unareport tupe mtiririko wa matukio vinginevyo hautendi haki. unaweza kufikiria kuacha kuposti kama huwezi kuwa neutrali. Hii itasaidia zaidi na tutakuona shujaa.

Sihitaji ushujaa wa kusema uongo.
 
swali la pili: kwakuwa CCM na CUF wana halmashauri, je watazitumiaje ili kuimpliment sera zao?
 
Mbowe - Viti maalum ni 105

Tume ilitaka majina siku 30 kabla ya Uchaguzi. CHADEMA walitaka wapeleke majina baada ya uchaguzi. Vigezo vya kuwapata wabunge maalum vilipitishwa na kamati kuu ya CHADEMA.

Vigezo/mambo yaliyozingatiwa:-

- Elimu
- Uanachama (umri ya mwanachama katika chama)
- Uzoefu
- Michango katika chama
- Wakina mama wangapi walikwenda kwenye majimbo

Maazimio ya kamati kuu.

Anaongelea vigezo ili kupoteza muda badala kujibu swala la msingi na huyu Rose anamwachia apoteze muda. Ujinga gani huu?!

Asante sana Mkuu. Nimekugongea na thanks. Hapa umeripoti kiweledi. Unanidai TZS 10,000.
 
Swali:mbowe kwa mujibu ya maelezo yake, alisema kushirikiana na ccm ni kuua upinzani,
swali: Kwa kuwa cuf+cmd, wako serikali, watatumiaje rasilimali chache ili kuleta maendeleo ktk serikali ya mitaa
 
Watu huwa wanadai Hamad ni kichwa, lakini naona anatoa majibu rahisi rahisi tuu ambayo hata diwani wa FUC angeweza kujibu.
 
Well done Hamad!
CHADEMA ni wanafiki amewavua nguo. Wanajifanya wasomi na wanazingatia maslahi ya taifa wakati ni Chui wamevaa ngozi ya kondoo.

Mbowe anazidi kuchemsha - sasa anasema anakubaliana na CUF. Huyu mtu anajikanyagakanyaga. Njia ya muongo FUPI!
insurgent umenena,mimi sina cha kuongeza,umemaliza kazi mkuu nakupa 100 thanks.
 
Back
Top Bottom