Mdada, weka sifa kuu ya mume umtakae

Napenda Mume wangu awe mcha Mungu mwenye mapenz ya dhat.mshiko Muhimu pia awe na hela
 
Najua mtoa mada kasema SIFA moja ila nitaomba niseme zaidi ili kueleweka ....i hope si mthamini huu. ...na ili kujifunza vizuri kwanza lazima ukumbuke mwanamke ni binadamu haki unazostahili wewe kama binadamu ndivyo an azostahili yeye pia. So basically wanawake wote wanapenda
-kupendwa/kujali =k. m Kumpa pesa za matumizi yake, kumjali wakati wa ugonjwa na hali ya ujauzito. ...
-kuthaminiwa=hapa inahusika na kupenda kumsikiliza (wanawake ni watu wa details na very emotional)hivyo kumsikiliza inalipa. Wanapenda mthamini michango yao
-kuheshimiwa =hii inajumuishwa namna ya uongeaji wako siyo unaongea naye kama unaongea na mtu asiyefaa, pia siyo kumlinganisha na mwanamke malaya au mchepuko, kumweshimu pia inajumuishwa na wewe mwanaume kutokuvua ch**pi yako kwa wanawake huko nje ili wanawake wengine wakutumie! !!
-kulindwa =to feel secured akitembea na wewe anajiona yuko safe.
SASA MIND YOU kuna mengineyo hayo ni basic. ...hapo kwenye mengineyo ndiyo tunatofautiana sijui mrefu, kifua ka nini. ...e.t.c
 
Eti kumpa pesa ya matumizi nyie ni disabled people ama???
 
nilijua itakuwa ngumu kutaja sifa moja..maana lazima kurasa kama kumi hivi zijae...
 
Ila kutakua na sifa moja ambayo hiyo haipingik lzma umkatae mfano ana kila kitu lakini jambazi 😛 😛 😛 😀 😀 😀
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu heshima nyingi sana kwako maana dah nmecheka sana kusema ukweli,popote ulipo kama hutojali kamata dompoo ntalipa.
 
Umesema kweli mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…