Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
- Thread starter
- #81
kama panga boi muulize member mmoja anaitwa manka anahiyo experience
panga boy??? du...la feni ya darini au mezani?
kama panga boi muulize member mmoja anaitwa manka anahiyo experience
anataka upate utamu jamani
aisee mkuu taratibu kwa hiyo wachagga kwenye hela tunatongoza si sawaa aiseee tunaaibu na sisis huyu ni mmbulu... au la sivyo kozo okamoto aje atoe jibu ni kabila gani?Ah Kozo siku nyingine usinge jibu hivyo.hapo umemzalilisha sana sidhani kama kweli atakuletea shida zake tena. Ungemwambia sawa nikikuhitaji nitaomba kampani yako.halafu unakuwa humhitaji moja kwa moja . Ila akikuomba vimatumizi vidogo vidogo unampa kama unavyo. Japo pia hivyo vimatumizi vidogo vidogo sijajua ni bei gani.nasema hivyo kwa sababu lazima atakuzushia tu kwamba wewe huwa unampiga .iKumbuka huyo utakuwa naye hapo kwa offis kwa muda mrefu sana labda kama mmoja wenu yupo hapo kwa ajira ya muda.kwa kuwa wewe umemzalilisha lazima na wewe atakuja kukudharirisha. Halafu huo ujasili wa huyo demu ni wa kichaga. Je ni mchaga wa wapi
nimeoa mkuu,unadhani nitanufaika na nini kwenye hiyo nyumba ndogo?
bahati hizi mnazichezea sana nyinyi watu ..huyu mi ndo angenifaa...maana ningekuwa anarudi kati asubuhi mchana na jioni
Sijawahi kuona mjapani aliyezubaa kama wewe
bahati hizi mnazichezea sana nyinyi watu ..huyu mi ndo angenifaa...maana ningekuwa anarudi kati asubuhi mchana na jioni
kama kweli ni utamu basi nianze na wewe
aisee chali kwani ni dozi aisee si utafika kwa mkeo utoe povu
kozo okamoto kumbuka sumu.....
panga boy??? du...la feni ya darini au mezani?
Hii njia ya kitongoza kiboko
haya ndo maswala ya kuja kufia kifuani kwa mtu mnaanza singizia presha
la darini speed ya 5 akiweka tu anaanza kukata kiuno
toba!!! hivi hakuna uwezo wa kubadilisha damu na kuweka maziwa mwilini?...nataka niwe na damu ya maziwa
hahaha umenikumbusha gesti moja hivi tandika wakati wa ujana wangu...yaani mtu unaduu kwa wasiwasi kweli,maana lifeni linavyozunguka utafikiri na lenyewe linakata uuno,yaani unakuwa na wasi wasi ukidhali litakuangukia.yaani mtu unaduu kwa hofu sana
Kaka, usilaze damu, hiyo ni mechi ya kilafiki kuangalia kama bado uko fit au ushapitwa na wakati , siku hizi kuna formation mpya nyingi!