Mdada unaweza kwenda dukani kununua kondomu?

Yaan watu wamekula ban aisee 😀😅😅😅
Watakula sana kwa sababu hawaeleweki unamwita mtu majina ya ajabu post za ajabu kisa nini sasa.
Ndio maana wamekula ban.
Unawiki tu unaandika upupu masaa yote mpaka mnaharibu sifa ya hili jukwa zuri hivyo .
 
Nilikuwa kilindi huko vijijini kikazi, baada ya kama week 2 ninaham kinyama, nikiangalia manzi wa kugonga hapo kijiji ni mwalimu mmoja tu wa primary, sikuiyo nikamtokea kwake jioni.

Piga sound kinyama manzi aelewi, dk ya mwisho akaelewa bana. Zama kitandani nina kipururu cha kufa mtu nimemchojoa manzi nguo zote nataka kupiga hv akaniambia stop, wap kondom?

Aisee niliishiwa nguvu zote. Manzi kaweka ngumu kabisa bila ndom hupigi. Dah, mzee mzima ikabidi ni act kulia kabisa.

Baadae sana akaniambia alikuwaga nazo walipewa na watu wa aids, tukaanza kushusha mabegi usiku kusaka ndom. Mara hizi hapa ziko 3 japo zilionekana zimechakaa sana (zile nyeupe hazina lebo yoyote). Dah nilifurahi kinyama.

All the best Anna, you were the best!
 
Hahaha
 
Ooh aisee tunaandika nini ?
Sasa si uni ignore dada

Mbona mazuri tunayoandika yapo kama ushauri wa kiafya kwa watu

Anyway mdogo wangu haya maisha hutakiwi kuwa serious

Maisha ndo haya haya
 
Mambo vipi wadau?

Nliwamiss sana [emoji7] baada ya kula BAN la maana la mwezi mzima[emoji287]

Mfano umeenda kukutana na mpenzi wako mpya ambaye ndo kwanza amekualika mkutane faragha na unahisi huenda siku isiishe salama bila kugegedana unaweza kuwa na ujasiri wa kwenda dukani na kununua zana ili kujilinda au ndo utaenda ivoivo liwalo na liwe Unamuachia yeye ndo atajua la kufanya incase miili ikihitajiana???

Karibuni

View attachment 1168723
Kahaba kwa nini asinunue?
 
Nilikuwa kilindi huko vijijini kikazi, baada ya kama week 2 ninaham kinyama, nikiangalia manzi wa kugonga hapo kijiji ni mwalimu mmoja tu wa primary, sikuiyo nikamtokea kwake jioni.

Piga sound kinyama manzi aelewi, dk ya mwisho akaelewa bana. Zama kitandani nina kipururu cha kufa mtu nimemchojoa manzi nguo zote nataka kupiga hv akaniambia stop, wap kondom?

Aisee niliishiwa nguvu zote. Manzi kaweka ngumu kabisa bila ndom hupigi. Dah, mzee mzima ikabidi ni act kulia kabisa.

Baadae sana akaniambia alikuwaga nazo walipewa na watu wa aids, tukaanza kushusha mabegi usiku kusaka ndom. Mara hizi hapa ziko 3 japo zilionekana zimechakaa sana (zile nyeupe hazina lebo yoyote). Dah nilifurahi kinyama.

All the best Anna, you were the best!
baharia uliwakilisha kwa kilio hahahahaaaaaaaaaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom