EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,716
- Thread starter
- #41
ndo namtahadharisha awe anatembea nazo maana mpenzi wa siku zote hatamuacha kisa hana zana labda mpenzi mpyaSyo ajabu sana labda mazingira
ndo namtahadharisha awe anatembea nazo maana mpenzi wa siku zote hatamuacha kisa hana zana labda mpenzi mpyaSyo ajabu sana labda mazingira
No siwezikwannini we usiendee nayo???
Unahofia nini ambacho mwanaume haogopi?Niliwahi nunua siku moja tu..nashukuru pharmacy nilimkuta mdada nimezoeana nae alibaki kucheka tu...[emoji23][emoji23] Sipati picha ningemkuta yule mbabu
Nilikua nahofu ile ya mbabu kujua naenda kufanya mchezo mbayaUnahofia nini ambacho mwanaume haogopi?
ndo ukimkuta huyo mdada nunua nyingi uweke akibaNilikua nahofu ile ya mbabu kujua naenda kufanya mchezo mbaya
Akiba kwani dukani zimeisha? Hata ivyo sikununua tena baada ya siku ile na sinunui tenando ukimkuta huyo mdada nunua nyingi uweke akiba
HahahahahahahahahWe sina wasiwasi nawe kabisa unaonekana tu
Sio mwanamke huyu ni mshkaji anaye act.Demiss mwanamke maarufu na mwerevu kuliko wote JF tusaidie kujibu swali hili!
Mkuu hivi inawezekanaee???Sio mwanamke huyu ni mshkaji anaye act.
acha kutuchora utakuja ambukizwa bure tembea na bullet proofPedi tu inanishinda nunua dukani itakuwa condom...
P2 ndo nini mkuu??Watu tunanunua P2 na inamezwa hapo hapo pharmacy WTH is a Condom
acha wivu mkuu kama mangi alikuuliza ni kitu gani inamaana hakumuuzia?Niko dukani kwa mangi nanunua mkate mara paaap katokea mdada "mangi nipe ndom"..dah nilichanganyikiwa,nikawa naona maajabu..hivi huyu demu anatutega au vp!..maana hata mangi mwenyewe naye kashapagawa tayari anamuuliza yule dem eti "ndom ndo kitu gani!!??"..ikabidi nimsaidie "anataka kinga"..bahati mbaya nilivaa bukta nusu niaibike maana jamaa alikuwa kavimba kila nikiwaza dah "asubuhi yote hii demu anaenda kut..mbwa "?!!
kuna matukio yasiyotarajiwa hujitokea ghafla mno unatakiwa kuwa tayariAkiba kwani dukani zimeisha? Hata ivyo sikununua tena baada ya siku ile na sinunui tena
acha kutuchora utakuja ambukizwa bure tembea na bullet proof
Alimuuliza kabla ya kumhudumia kabla yule demu hajajibu mi nikamsaidia fasta "oya mangi mpe salama a.k.a kinga,acha kumbwela"acha wivu mkuu kama mangi alikuuliza ni kitu gani inamaana hakumuuzia?