Mchepuko wangu kashauriwa bora azae kwanza na yeyote atakayepatikana

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,366
98,805
Siku ya Jumanne baada ya kufanya ya kufanya.

tukiwa tumejipumzisha story za hapa na pale zikiendelea. Tukajikuta tumeingia ktk story za jinsi mara ya kwanza anaajiriwa, Changamoto za alivoenda kuanza kibarua chake Mara ya kwanza kwenye moja ya kampuni za marehemu mzee Mengi.

Akawa ananisimulia hivi,
"BBY ujue kipind sijaajiriwa pale XXX, nilikua nimeshasota Sana nyumban Hadi nmekata tamaa ya kuajiliwa tena.
mchongo wa ajira alifanya baba angu mdg alikua anajuana na mkurugenz wa ile kampun XXX. Na Hakukua na interview.
Niliambiwa TU Kuna KAZI imeshapatikana keshokutwa niwe dar jion. Taarifa zangu wanazotayar Kuna mtu atakuja kunipokea ubungo

Nilipofika ubungo, ikaja GARI yumo mzee flan Kama miaka kama 50, akaniuliza jina nikamtajia, Kisha akajitambulisha kwamba yeye Ni mkurugenz wa kampuni XXX, Nipande kwenye gari twende. Tumefika kwake akashuka kwenda kufungua geti mwenyewe na kuingiza gari.

Kuingia ndani kote kimya hamna mtu hata mmoja, akasema nijiskie nyumbani na pale ndo kwake anaishi peke ake Hana mke, ila watoto wake wote wako vyuoni na mashuleni.

Akanipeleka kunionyesha chumba changu, akafungua na kunikabidhi Kisha akauchomoa ufunguo mlangoni akautia mfukoni kwake na kuniaga anaenda chumban kwake kulala.

Sasa baada ya kuondoka nikataka nifunge mlango nilale, nikakuta mlango Hauna hata komeo ya ndani, Ikashindikana kufungika. Kwaiyo ukawa umeegeshwa TU na kitasa Maana ufunguo kaondoka nazo mzee.

Sasa kichwan nikabak na maswali mengi,

-Uyu baba kwann ameamua kuondoka na funguo za chumba changu?
-Hivi apa Kwa mfano nmelala, si atarudi kuja kunibaka uyu?

Basi nikaona tabu kulala bila nguo, ila joto lilivozidi mle ndani nikaona Ujinga huu nikaamka nikavua nguo zote nikabaki na chup TU. Kisha nikajifunika shuka na kulala

Ila Sasa Maswali yakazidi kuja kichwani,
-Hivi uyu mzee akiamua kuja kweli kunigonga, kelele ntampigia Nani Jumba lote hili eti anaishi peke yake?
-Hivi kwa mfano kaja kiupole akaniomba, nikimkatalia Nini kinaweza kunitokea?
-Hivi akiniomba si nikamyima Hii KAZI sintakosa kweli, Hivi msoto wote ule nilopitia, niikose Hii ajira afu nirudi mkoani Hivi watanionaje watu.

Basi nikajisemea,
Mi siwez kujibana bana nilale na manguo yote hapa, uyu mzee Kama kawekea mtego POA tu. Nishakamatika.
Mi akiamua kuja kuniomba rushwa ya ngono mi Nampa TU liwalo na liwe. siwezi kuikosa Hii KAZI wallahi, nmeshasota sana Mimi mtaani.

Ila Sasa Mungu alivyo wa ajabu, nikiwa bado usngzin nikaskia hodi inagongwa mlangoni. Moyon nikajisemea "Mungu wangu,Uyu mzee kaja kunigonga" nikakaa kimya.
Kagonga Mara 3, ikabd niitikie 'abee'
Mzee akasema
"kumeshakucha jacky, saa 11 alfajir hii jiandae twende kazini"

Basi Nikaamka nikajiandaa na kweli tukaenda kazin nikasaini nyaraka na kupewa pesa za kujikimu na kwenda Kupanga chumba kimoja,vitu kadhaa na mpk Naondoka pale kweye kampuni ile mzee wa watu hata hakuwai kua na wazo ilo la kunigonga Kama nilivomchukulia kipind kile"
Mchepuko akaishia hapo kisa chake icho kunisimulia.

Sasa Nikamuuliza,
"Ina Maana ulkua serious, yule mzee angeomba kukugonga ungempa kweli?" Uku nmemkazia macho

Akasema,
"wallah sikufichi mpenz wangu, serious angeomba ningempa, maisha yalikua yameshanichapa Sana na nisingekubali kurud Tena mkoani kwa namna yoyote ile" uku anacheka

Nikamwambia
" Usinichekee upumbavu huo, Inamaana wee ulkua tayar kurisk uchi wako kwa ajili ya kupata ajira tu?"

Akasema,
"Kwann nikufiche babaJ wangu, huo Ndo uhalisia, serious angeniomba mimi ningempa TU iki kidudu" uku anashika kidudu chake uku anacheka

Nikamwambia,
"Aisee Wee mwanamke Malaya Sana, afu huna aibu. Yaan kisa hofu ya kuikosa KAZI Ndo uhalishe kugongwa na mkurugenz wako. Yaan huu upuuzi wako ulonisimulia Ni Bora TU ungekaa kimya. Ushanichefua mimi. Umenikata mood kabisa"

Basi kiufupi pale yakatokea mabishano makali Sana, hasira zikanipanda nikajikuta nmeropoka

" Wee sio mwanamke wakuoa KABISA, huna maadili Wala hujui kipi Cha kuongea, kipi Cha kuacha. Ndo maana kila Mara nasita kufanya malengo na Wewe, wee Ni mwanamke wa kupita tu. Napiga na kusepa Kama wengine waliopita kwako.Sijakukuta Bikra mimi"

Akasema
"Rudia umesemaje babaJ? Yaan mi wakupiga na kufanyaje? Hivi uko seious unasema Huna malengo na Mimi?"

Nikamjibu " hivyo hivyo ulivyoelewa"

Akasema
"Basi kuazia leo naomba mahusiano Aya tuishie hapa hapa, na namba zangu zote futa kabisa tusipotezeane tena muda" uku anabubujikwa na machozi.

Nikasema
"Sawa tu" uku nmekaza sura.
Nikavaa HARAKA na Kisha nikaondoka zangu kwa hasira bila hata kumuachia posho ya meza. nikamuacha anaendelea kulia peke yake pale.

Sasa kesho yake tukashinda Siku nzima hatusemeshani kwny Simu wala kujuliana hali Kama ilivyokua kawaida.

Siku iyo iyo jion baada ya ule ugomvi,
Nikaona hapa tushazinguana na mamaJ,
Siwez kwenda kwake mpk hasira zake zitulie kwanza,

Pia nikajilaumu kwa kauli ile ya KUPIGA na KUSEPA,
Haikua ya kiungwana kabisa kuitamka kwa wakati ule, na kibaya Zaid baada ya kulia sikuonesha kujutia Wala kumaanisha natania. Nilikaza msimamo wangu.

Kimoyo Moyo nikajisemea,
"Ntalimaliza kimya kimya hili, hasira zake zikiisha ntaenda kwake TUYAMALIZE"

NIKAJISEMEA Hebu leo na Mimi niende mapema nyumban kwangu wanione.
Basi Nmeenda nyumban mapema Sana pamoja na vijana wangu wa dukani. Maana Kila Siku Mimi ndo mchelewaji mkuu pale nyumban.

Ilipofika Saa 1 kamili usiku nikawa Nmefika nyumban nmeoga nmezubaa zubaa tu Seblen nabadili channel Hii na ile kuangalia habari. MKE wangu nae akawa pale seblen analalama nmemharibia ratiba yake ya kuangalia tamthiliya yake. Wife akawa kama kanuna ila kwa ubabe wangu tu Kama BABA mwenye nyumba akawa mpole tukaangalia wote habari.

Sasa ilipofika kwenye Saa 3 kasoro usiku Vijana wangu wa duka wakaja kumuaga wife kua wanaenda kuangalia mpira UEFA wanataka wakawai siti mapema kiBanda UMIZA wawekewe chakula Chao pemben watarud wanakula.Wife akakubali

Basi nikaona na mimi niache kugombea rimoti na wife nijumuike na vijana nitoke pale tukaangalie wote mpira mtaa wa jirani. Wife aendelee kuangalia tamthiliya zake maana taarifa ya habar nilikua Kama namlazimisha TU. Nikaondoka pale.

Kufika bandan tukalipia na siti zetu zikawekewa alama, Kisha tukatoka nje kutia tia story na ubishi wa hapa na pale kwenye mashine za kubetisha watu wako bize kutandaza mikeka usiku ule.

Nikatulia nikapiga mahesabu ya haraka haraka kwamba hapa hapanifai, kwann nisiende chap kwa mamaJ na bodaboda nikampige kimoja Cha fasta hata Kama tumenuniana. Afu mpk mpira huu uishe saa 7 usiku ntakua nmesharudi tayar.

Basi nikachukua bodaboda haraka mpk kwa mamaJ. Sasa kwasababu tumenuniana sikuona haja kumpigia aje anifungulie geti.
Na Bahat nzur geti lake la Gari huwa ukiingiza mkono kwa Chini unaweza kunyonga komeo na kulifungua geti kwa ndani.

Basi nikafungua geti kimya kimya na kuzama ndani, Nmefika nikaskia mtu Yuko chumban kwake Anaongea na simu kwa sauti, afu Simu yake iko loud spika.
Nikazunguka upande wa nyuma dirishan niskie kwanza Ni maongezi gani ayo Anaongea uyu MDA huu.

Nilichosikia Ni kwamba,
Alikua akimuelezea shoga yake wa saluni anakotengezea nywele Mambo Yao ya udaku wa wanawake wa mjini.

MDA SI mrefu wakaingiza mada ya mwenzao mmoja alietoka kuachana na bwana ake wa Miaka mingi.

Gafla nikaskia akimsimulia kwamba mimi na yeye tumegombana pia Jana yake.
Na ugomvi ulkua mkubwa Sana na kisa chote kamsimulia mpk kauli zote chafu nilizotoa.
Kwamba pia nmemwambia kua Sina malengo na inaonyesha siwez kumuoa kwa sasa.

Uyu mwenzie akawa anamshaur kua kwa umri wake wa miaka 27 Sasa,
Ni Bora aachane na Mimi tu maana anazidi kupoteza tu muda wake na umri unaenda. Wanaume wote ndivyo walivyo Ni Bora TU azae aishi na mwanae tu Ndo pa kuwekeza upendo wake. Maana akifikisha miaka 30 anaweza asizae Tena akaishia kua mgumba na Mimi nikamuacha.

Sasa katika maongez Ayo,
Ikakaonekana kwamba MamaJ kakubaliana kabisa na mawazo Ayo ya Bora kuzaa TU.
Akasema,

"kwakweli Nmekuelewa shosti ake, wanaume hawaeleweki hawa. apa Bora nitafute mtu alieserious nizae TU kwanza. hata akizingua kulea sio mbaya ntalea mwenyewe TU siwez kosa Ela ya uji wa mtoto"

Uyu akamsapoti na kumwambia afanye haraka Ila ahakikishe nisijue mpango ule. Mchepuko akakubali Kisha wakakatisha maongezi yao.

Nikawaza kuingia kumpiga kimoja,nikaona MDA hautoshi Maana kuangalia saa Ni saa 6 na robo usiku.
Afu kwa MDA wa mpira ni saa 7 kamili mechi inakua imeisha. Nikaona kabisa kwa MDA huu unanitosha kuchukua bodaboda na kuwahi pale kiBanda UMIZA Kurudi nyumban kwangu na vijana.

Basi nikaondoka pale kimya kimya, nikarudishia geti lake Kama nilivolikuta. Nikaondoka zangu kurudi nilikotoka.

Sasa baada ya pale nikabaki na maswali mengi sana kichwan kwangu

Nikajiuliza maswali yafuatayo

Inakuaje mwanamke anakua na mawazo fyatu Kama Ayo?

Hivi uyu Dada wa saluni anaemshaur ujinga Mchepuko wangu analengo gani hasa na Mimi kuhusianisha na usalama wa faragha yangu, Hivi ananitakia mema kweli uyu? Kanichukuliaje yaani?

Inakuaje anafikia hatua ya kusema azae na mwanaume yeyote ili mradi mtoto kwanza?

Hivi miaka 27 Ni umri wa binti kua na presha ya kuzaa Kias icho kweli?

Hivi zile tetesi za kwamba wamama wa saluni wanatuharibia sana wanawake wetu kwa kushauriana ujinga Huenda zikawa na ukweli eeh?

Aya anakimbilia kuzaa kuhofia ugumba, anapachikwa mimba afu jamaa mwnyw anaingia mitini anabakia kua single mother. Hivi Hii KUZAA tu kwa wanawake imekua ni fasheni Sikuhizi au?

TUKIRUDI KWENYE suala la ajira yake,
Hivi Ni halali kweli mwanamke akutamkie kabisa kua angeombwa uchi na mkurugenzi wake, angempa kwa kigezo Cha hofu ya kuikosa ajira?
Hivi Inaingia akilini kweliHii ?
Nilikosea Sana kumgombeza kwenye Hilo?

Hebu tushauriane Ayo wakuu.
Karibuni sana. NAWASILISHA

==========

Fungua link kusoma muendelezo

Nimetibua mpango wa mchepuko wangu kuchepuka na bodaboda
 
Huku uswazi pakiboya sana hapa kuna mtu kaja dirishani analia km chura sijui mwanga huyu au anatest km nyumba kuna mtu any way.

Ola ww dini gani kwanza kama Muislam acha zinaa oa mke wa pili zaa nae huyo mwanamke ushapata mvujo wa mtihani alafu bado unafikiria namna gani yakufaulu acha undezi wewe.
 
Siku ya Jumanne baada ya kufanya ya kufanya.
tukiwa tumejipumzisha story za hapa na pale zikiendelea. Tukajikuta tumeingia ktk story za jinsi mara ya kwanza anaajiriwa, Changamoto za alivoenda kuanza kibarua chake Mara ya kwanza kwenye moja ya kampuni za marehemu mzee Mengi.

Akawa ananisimulia hivi,
Kamanda wewe ni wa kuatamia hizi episode hazitaisha utamu wake unaishi nao na memory hazikati, yeye kwako anafaidi huduma zako tu ila kwenye hisia hana maajabu na wewe, unampa huduma na matunzo hayo ndio maajabu yako tu.

Wewe ni physical address yake as of now, that's why akipata mpya mwenye kutoa huduma pia analeta jeuri na anajua wewe kwake umefika.
 
Kaka hujakosea kuongea hvyo maana yeye alikosea kusema vile ,ila tatizo masihara mengi na mmezoeana sana na huyo mama j anakuchukulia kama Shoga ake tu

Kingine sasa mapenzi hayashauriki hapo ukute kamwambia lakini wala hajatilia maanani wala nini ,I mean hajakuchoka bado!atampotezea tu siku akikuchoka ataondoka mwenyewe hata utumie mbinu gani za kivita

Mapenzi hulindwa na mwanamke siku zote huyo mama J akikuchoka atakuacha hata km ataanza tena moja na kuishi kama shetani kwa sasa bado hajakuchoka

Na hayo maushari hayo siku si nyingi yataanza kuzaa matunda baada ya kumpata anaemtaka yeye
 
Siku ya Jumanne baada ya kufanya ya kufanya.
tukiwa tumejipumzisha story za hapa na pale zikiendelea. Tukajikuta tumeingia ktk story za jinsi mara ya kwanza anaajiriwa, Changamoto za alivoenda kuanza kibarua chake Mara ya kwanza kwenye moja ya kampuni za marehemu mzee Mengi.
Sasa we baba J na mama J si ndo mumtafute huyo J sasa, ila na wewe umeyataka mwenyewe😅
 
Back
Top Bottom