Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,525
- 94,705
Imagine umgande mwanaume ambae anatembea na machizi.Kwani hao machizi hawawezi kupewa mimba na mchizi wenzao? una uhakika gani kua wamepewa mimba na watu timamu?
Mtu mwenye akili ya utimamu hawezi kulala na chizi.
Akili ya wapi hii?
