realMamy JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 7,335 Reaction score 18,417 Jul 20, 2026 #61 Hamissi Hamza Jr said: Mtu anaeshauri Usitumie ID Fake Na Yeye Ana ID Fakeπππ Click to expand... Kazi kweli kweli
Hamissi Hamza Jr said: Mtu anaeshauri Usitumie ID Fake Na Yeye Ana ID Fakeπππ Click to expand... Kazi kweli kweli
HOLY SKANKA JF-Expert Member Joined Dec 30, 2025 Posts 964 Reaction score 1,650 Jul 20, 2026 #62 Wasiwasi Wako Tu...!!
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 38,021 Reaction score 117,468 Jul 20, 2026 #63 Nyege zikikata utamkana mchana kweupe, Sasa hivi unaendeshwa na hisia tu huku akili zikiwa kwenye mfuko wa shati.
Nyege zikikata utamkana mchana kweupe, Sasa hivi unaendeshwa na hisia tu huku akili zikiwa kwenye mfuko wa shati.
che chaunichile JF-Expert Member Joined Jul 4, 2026 Posts 431 Reaction score 718 Jul 20, 2026 #64 Hamissi Hamza Jr said: πππ Wamekuaje? Click to expand... Mna mbinu za kuwaingiza hawa wa upande wa pili king,hivi maelezo ya Uzi si ajabu tayari ashawaza kukuhurumia,wakati we unawaza kuonja tu
Hamissi Hamza Jr said: πππ Wamekuaje? Click to expand... Mna mbinu za kuwaingiza hawa wa upande wa pili king,hivi maelezo ya Uzi si ajabu tayari ashawaza kukuhurumia,wakati we unawaza kuonja tu
Hamissi Hamza Jr JF-Expert Member Joined Apr 16, 2020 Posts 548 Reaction score 1,084 Jul 21, 2026 Thread starter #65 The Icebreaker said: Nyege zikikata utamkana mchana kweupe, Sasa hivi unaendeshwa na hisia tu huku akili zikiwa kwenye mfuko wa shati. Click to expand... πππ
The Icebreaker said: Nyege zikikata utamkana mchana kweupe, Sasa hivi unaendeshwa na hisia tu huku akili zikiwa kwenye mfuko wa shati. Click to expand... πππ
Ngwathra Platinum Member Joined Jul 11, 2007 Posts 6,989 Reaction score 14,173 Jul 21, 2026 #66 realMamy said: Kazi kweli kweli Click to expand... Cheni bandia pesa bandia yani