Ni kitu gani haswa kinamfanya mtu aamini kwamba kuna guvu za uchawi?
NI kwamba watu hawana elimu ya kutosha au zilikuwa mila za Kiafrika kabla ya
dini nyingine kuingia?
Nashindwa kuelewa maana tukisema elimu mbona kuna watu na ma PHD ya TZ bado
wanaenda kwa waganga?
Maana inasikitisha karne hii ya 21 bado watu wana ng'ang'ania mambo ya kishirikina.
Nashindwa kuelewa.
Mie nilianza kuisoma hiyo thread nikaona ni upuuzi mtupu nikaachana nayo. Baadhi ya Watanzania uchawi wameweka mbele sana. Nakumbuka miaka mitatu au minne kuna utafiti uliofanywa katika baadhi ya nchi za Kiafrika Tanzania na Nigeria zikiwemo na hitimisho lilikuwa kwamba Watanzania tena wale wacha Mungu wa dini kubwa mbili nchini wanaamini sana uchawi na Watanzania wengi wanaamini uchawi kuliko Wanigeria, inashangaza lakini ni kweli. Maadui wakubwa nchini mwetu ni CCM, ujinga, imani potofu za uchawi, maradhi na umaskini.
Ni kitu gani haswa kinamfanya mtu aamini kwamba kuna guvu za uchawi?
NI kwamba watu hawana elimu ya kutosha au zilikuwa mila za Kiafrika kabla ya
dini nyingine kuingia?
Nashindwa kuelewa maana tukisema elimu mbona kuna watu na ma PHD ya TZ bado
wanaenda kwa waganga?
Maana inasikitisha karne hii ya 21 bado watu wana ng'ang'ania mambo ya kishirikina.
Nashindwa kuelewa.
Usilolijua usiku wa giza omba ya sikukute mshukuru mungu kwa kukulinda na kupata akili ya kuingia jf ila nakushangaa sna Nyani ngabu uchawi upo na una nguvu kubwa tu fuatiria kwa nini kuna kitu kinaitwa msukule au ndondocha ukipata majibu utarudi fasta kufuta haka ka thread.
Zaidi ya 80% ya watanzania wanaamini na kufuata mambo ya kishirikina.
Zaidi ya 80% ya watanzania wana imani za kidini na ni waendaji wazuri wa kanisani na wanatumia mda wao mwingi kusali na ibada.
NN mara nyingi watu wenye imani za kidini ndio wanaoamini nguvu za giza na baadhi yao wanafuata kote kote.
Ukikutana na mwanamke asiyeamini na kufuata nguvu za giza shukuru Mungu, wataenda kwa mungu wa bakili either kutafuta mume, kuroga mume wa mtu, kumfunga/kumpumbaza mume au kutafuta watoto.
Wakati mwingine najuiliza, wanawake wameumbwa vipi?
Ngabu...hujawa na thamani machoni pa wachawi....muombe mungu masikhara hayo wakisikia tu na hata kusali husali na teyari una mke au watoto utaanza misiba
Kazi ipo.Wengine wana Masters na Phd lakini hawajaelimika walikuwa wanahama darasa moja baada ya jingine kwa zaidi ya miaka 20 lakini hawakuelimika hata chembe. Hivyo hawa kwenda kutapeliwa na hawa matapeli ni kitu rahisi sana.
hahahahahahahahahahahahahahahah lolHakuna uchawi wala baba yake ushirikina.
Kilichopo ni mambo ya kufikirika tu.
Lakini hata wewe hujachelewa.
Kama kweli uchawi upo nitolee mimi mfano.
Niroge.
MziziMkavu ukishindwa mpa divertise Nyani Ngabu basi nakushusha vyeo mkuu
NDO MAANA NIMEMUITA MziziMkavu AKASHUGHULIKIE ENDAPO ATASHINDWA BASI HAKUNA UCHAWIWaite wote uwajuao waje wanichangie tuone kama watafanikiwa.
NDO MAANA NIMEMUITA MziziMkavu AKASHUGHULIKIE ENDAPO ATASHINDWA BASI HAKUNA UCHAWI