Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,179
- 143,987
- Thread starter
-
- #21
NN unajua kuniita kwenye uzi kama huu unanitaka nini lakin??
afu kusema wateja wakubwa awa hao wanaovuta wapenzi ni wanawake you are very wrong.
for sure its a two way. there are women who go for the service as well as men.
kuna wanawake wanalia kabisa kisa aina ya ndoa walizoolewa nikimaanisha waliolewa na wanaume ambao waliwavuta hao wanawake kichawi hadi mwanamke kukubali kuolewa nae.
wapo wanawake waliopata waume kwa njia hizo hizo. siku hizi biashara ya kuvuta wapenzi na yenyewe haina mashiko biashara yao kubwa imebaki kuwa kuvuta watu kwenda kwenye ufreemason na kutoa pesa za bahati ama kuwapa hela za majini.
Bila Mungu mjin hapa hukawii kulishwa kinyesi cha mbuzi ukidhan ni korosho za mtwara

Dare zingine bana. Watakuloga kweli uvuke border, uanze kutuwekea sombreros na ku-scream "orale!", no more "USA baby".
nianze hiviKwa sababu wewe ndo rejea yangu ya watu na vitisho vyao vya kuniroga.
Halafu, hivi hilo la majina ya mwana na mama mzazi ndo huwa sharti kuu la wachawi?
Manake huyo naye kaja kama ulivyokuja wewe 😀.
Sawa, nakubali kwamba sina takwimu lakini nikitumia anecdotes bado naona kuwa wateja wakubwa wa hao waganga ni wanawake.
Sasa kusema wateja wakubwa ni wanawake haimaanishi kwamba hakuna wanaume waendao huko.
Lakini kusema kweli mpaka sasa bado nadhani wanawake wanawapiku wanaume kwenye hilo.
Sijawahi kukutana na mwanaume aliyeenda kwa mganga kwenda kutafuta mitishamba ya mapenzi. We ushawahi?
Nah...mimi nakataa aisee. Kwani mtu huwezi tu ukampenda mtu haraka haraka au hata taratibu halafu baadae penzi likachuja? Kwa nini likichuja sababu iwe uchawi na si tu kwamba upendo umepungua kwa hali ya kawaida tu?
Hapa inabidi nichecke tu kwa kweli 😀😀😀.
Ati pesa za nini? Au kujiunga na nini? Mbona umesahau kuongeza akili za darasani..?
Hakika maana kwa upumbavu wa kuamini upuuzi kama uchawi mtu akili [kama hata unayo] utaiweka kando ili kutimiza masharti ya mganga wako.
Mganga hakawii kukwambia ule maharage ya Mbeya na mayai ya kuchemsha halafu umvizie mumeo akiwa amelala umjambie mdomoni ili penzi lake likolee!
nianze hivi
1) jina la mama mzazi linatumika zaid kwasabab huyo ndo mtu wa kwanza ambaye unasaba wake na wewe hauna shaka.
2) wapo wanaume ambao wanaloga hadi kupata wake na haya usipokuwa mtu wa kusali huwez kuyaona, nimeona watu wakifanyiwa maombi ili kuwatoa kwenye haya maagano ya kipepo si mara moja wala mbili
3) usitake kuniambia kwamba hazijui pesa za majini. mfano mdogo tu ninao kupa uliwah kuskia watu kuna utajiri wa zambia wa kuhesabiwa mahindi ya kuku aliomeza?? je hujawah kushuhudia mtu anamiliki utajiri wa kipepo ambao may be halal kitandani, hali vizuri, havai vizuri, mke amezika, watoto kila mwaka anazika na bado analindondocha nje ya ofc yake linalomletea mali? inamaana wewe mwenzangu huamin hata makafara ambayo baadhi ya makampuni ya mabasi yanayosafirisha watu kwenda mkoan wanafanya?
4) Hili swala lipo ila mi kama ilivyo evolution kwamba theory ya origin of life huwez uka iverfy kwa kutumia special creation as haina empirical evidance
Mikwara ya nini....
Let them do it. Let them make an example out of me.
I double and triple dog dare them to put a hex on me again [coz I've been daring them for years now and I'm still here].
Otherwise there's no there there. Fictional. Imaginary. Summa Cum Laude BS.
USA baby View attachment 366531 View attachment 366532 View attachment 366533.
nianze hivi
1) jina la mama mzazi linatumika zaid kwasabab huyo ndo mtu wa kwanza ambaye unasaba wake na wewe hauna shaka.
wapo wanaume ambao wanaloga hadi kupata wake na haya usipokuwa mtu wa kusali huwez kuyaona, nimeona watu wakifanyiwa maombi ili kuwatoa kwenye haya maagano ya kipepo si mara moja wala mbili
3) usitake kuniambia kwamba hazijui pesa za majini. mfano mdogo tu ninao kupa uliwah kuskia watu kuna utajiri wa zambia wa kuhesabiwa mahindi ya kuku aliomeza?? je hujawah kushuhudia mtu anamiliki utajiri wa kipepo ambao may be halal kitandani, hali vizuri, havai vizuri, mke amezika, watoto kila mwaka anazika na bado analindondocha nje ya ofc yake linalomletea mali? inamaana wewe mwenzangu huamin hata makafara ambayo baadhi ya makampuni ya mabasi yanayosafirisha watu kwenda mkoan wanafanya?
4) Hili swala lipo ila mi kama ilivyo evolution kwamba theory ya origin of life huwez uka iverfy kwa kutumia special creation as haina empirical evidance
Mambo ya uchawi hayaeleweki.
Kuna mmoja huyo aliturusha roho kwamba kampa mwanaume limbwata kamjengea nyumba kumbe zilikuwa fiksi tu.
Mwingine alikuwa na mbaba kigogo flani hivi, vacations za maana, gari, kaambiwa atafute kiwanja ajengewe nk, katurusha roho ipasavyo. Shosti aliapa kuwa siri ni ndumba.
Mara kaja analia kachanganyikiwa kaachwa. Mwezi wa pili huu mbaba kakata mawasiliano hataki kabisa kumsikia. Tukawa tunajiuliza kulikoni.
Ishu ni who are you, sio kila mtu anarogwa,people need motivesHakuna uchawi.
Mnatishanaga bure tu.
Ishu ni who are you, sio kila mtu anarogwa,people need motives
Hivi nikisema kwa mfano wateja wengi wa hawa ma ustaadh ni wanawake nitakuwa nakosea?
View attachment 366521 View attachment 366522
Na hzo nguvu za kiume wateja ni wanawake? Just thnkng out loud.
Kwa iyo uchawi Anna?
Yan wewe!!!tema mate chini.uktema juu yatakuludia!!Subl yakukute
Kweli kabisa hakuna uchawi wala hakuna diniKama sikuogopa Gamboshi seuzi hawa wa kwenye mitandao?
Playa pliiiz
lol NN umesoma thread ya huyo mdada alieiba mme wa mtu kwa uchawi??
Mie nilianza kuisoma hiyo thread nikaona ni upuuzi mtupu nikaachana nayo. Baadhi ya Watanzania uchawi wameweka mbele sana. Nakumbuka miaka mitatu au minne kuna utafiti uliofanywa katika baadhi ya nchi za Kiafrika Tanzania na Nigeria zikiwemo na hitimisho lilikuwa kwamba Watanzania tena wale wacha Mungu wa dini kubwa mbili nchini wanaamini sana uchawi na Watanzania wengi wanaamini uchawi kuliko Wanigeria, inashangaza lakini ni kweli. Maadui wakubwa nchini mwetu ni CCM, ujinga, imani potofu za uchawi, maradhi na umaskini.