Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,092
- 143,313
nami pia huwa siuuamini
Nyani Ngabu kama kweli unataka kurogwa ni pm jina lako halisi na la mama yako halafu chagua mwenyewe unataka urogwe vipi uende chooni every one minute,upige kelele hovyo hovyo au urogwe UKIMWI ni pm mkuu
acha kujidanganya wewe! uchawi upo sema tu wewe huamini kama upo ngoja yakutokee ndio utaleta mrejesho humu kwamba uchawi nomaMwenzio gfsonwin alikuja na hiyo hiyo mbinu yako miaka kama mitatu hivi iliyopita na nikampatia vyote alivyoomba lakini hadi leo bado nipo.
Kama kweli uchawi upo wala huna haja ya kuomba majina yangu na ya mama yangu halafu eti nichague mwenyewe uniroge vipi.
Uchawi ni pango la watu wenye akili ndogo.
Hiv vitu mkuu vipo amini usiamini lkn ukweli upo pale pale.Kuna wadada wapumbavu kweli aisee.
Yaani unakuta wanaamini huo upuuzi hadi wanakuwa mazuzu.
Eti sijui limbwata au wanapewa sijui nyama gani za ajabu ajabu wawalishe wanaume zao.
Kinyama kitamfanyaje mtu akupende sasa? Nawadharau sana wanawake wa hivyo.
Kuna kimoja eti kilinitisha kuwa nitaendewa kwa waganga na wanawake wa Dar.
Hahahaaa....that's just incredibly stupid, to put it charitably.
acha kujidanganya wewe! uchawi upo sema tu wewe huamini kama upo ngoja yakutokee ndio utaleta mrejesho humu kwamba uchawi noma
tembea uone huko sumbawanga radi zinauzwa pale singida shelui kuna bibi alikua anahamishia mvua shambani kwake
Jambo usilolijua ni usiku wa giza,sikushangai
Hiv vitu mkuu vipo amini usiamini lkn ukweli upo pale pale.
Dunia ina mambo mkuu, ww bado hayajakukuta, siku yakikukuta sidhan km utakuja kubisha
upo kwa ajili ya kubishana au kuelekezwa ?Hakuna lolote.
upo kwa ajili ya kubishana au kuelekezwa ?
me i do no,wajuvi wa mambo yenyewe hebu mpigeni pigo moja balaa ili alete mrejesho huenda na mm nkaamn..
NN unajua kuniita kwenye uzi kama huu unanitaka nini lakin??Mwenzio gfsonwin alikuja na hiyo hiyo mbinu yako miaka kama mitatu hivi iliyopita na nikampatia vyote alivyoomba lakini hadi leo bado nipo.
Kama kweli uchawi upo wala huna haja ya kuomba majina yangu na ya mama yangu halafu eti nichague mwenyewe uniroge vipi.
Uchawi ni pango la watu wenye akili ndogo.