Mdada anapenda kupiga simu mara kwa mara

Hata kama siyo mme wa mtu inakera tu,
Maana hakuna cha maana mtaongea mara saba kwa siku..halafu sasa wanawake walivyo hawana la kuongea..utasikia anakuuliza " BABE UMEKULA?" yaaani as if hatujui umuhimu wa kula..au labda anataka akununulie chakula..yaani inanikeraga basi tu..yaani kujali kwao na upendo wao ni kuuliza umekula babe umekula?[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mwez uliopita nilidate na cjui mke wa mtu au demu yule duh anapiga simu alfajir i saa kumi na moja na nusu asbh baada tu bwana ake kuondoka kwenda kazin mpk saa mbili asbh nimesgakuta miscalled 10 so nice mwendo wa simu mpk saa moja jioni mzee wake akirud lifika maahali nikablok nmba kabadili anapiga tu had nikaona sas nimchane kuwa tuachane tu mnk hafati maelekezo yangu ninayo mpa mm
 
Hatari sana
 
Huu utaratibu wa kupigiana simu mara kwa mara kwenye mahusiano huwa yanashusha upendo.

Asubuhi unapiga simu zaidi ya mara tano, mchana na usiku ni hivyo hivyo, kinachoongelewa ni nakupenda nakupenda; mbaya zaidi mida ya saa nane za usiku unapiga na kutaka kuongea.

Hii tabia inatukera sana sisi waume za watu.

Kama umeamua kuwa na mahusiano na mume wa mtu, jaribu kuwa mstaarabu, kwa kujua mipaka ya mawasiliano.

Kupigiana simu mara kwa mara, haimaanishi upendo; bali ni karaha.
Utakutana na ambaye, msg ya asubuhi anaijibu jioni. Hapo ndo utaelewa
 
Kumpigia simu anaeumwa na kutaka kujua hali yake ipoje nayo imekaaje?🤔
Hiyo ni nzuri mbona inaonesha unamjali mtu wako lakini usifanye kuanzia Mara 3 kwa siku mpigie Asubuhi na usiku basi ukianza kumpigia Mara zaidi ya Mara 2 hiyo inakuwa kero
 
Huu utaratibu wa kupigiana simu mara kwa mara kwenye mahusiano huwa yanashusha upendo.

Asubuhi unapiga simu zaidi ya mara tano, mchana na usiku ni hivyo hivyo, kinachoongelewa ni nakupenda nakupenda; mbaya zaidi mida ya saa nane za usiku unapiga na kutaka kuongea.

Hii tabia inatukera sana sisi waume za watu.

Kama umeamua kuwa na mahusiano na mume wa mtu, jaribu kuwa mstaarabu, kwa kujua mipaka ya mawasiliano.

Kupigiana simu mara kwa mara, haimaanishi upendo; bali ni karaha.
Na wewe mume wa mtu unataka mchepuko wa nini, tulia na familia yako
 
Mimi nilishafutilia mbali concubine, maana anataka kujifanya kichwa sasa na sio wasikivu, bora ubaki njia kuu upambane na chaguo lako
 
Back
Top Bottom