[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata kama siyo mme wa mtu inakera tu,
Maana hakuna cha maana mtaongea mara saba kwa siku..halafu sasa wanawake walivyo hawana la kuongea..utasikia anakuuliza " BABE UMEKULA?" yaaani as if hatujui umuhimu wa kula..au labda anataka akununulie chakula..yaani inanikeraga basi tu..yaani kujali kwao na upendo wao ni kuuliza umekula babe umekula?[emoji3][emoji3][emoji3]
Piga blockAnafahamu hilo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata kama siyo mme wa mtu inakera tu,
Maana hakuna cha maana mtaongea mara saba kwa siku..halafu sasa wanawake walivyo hawana la kuongea..utasikia anakuuliza " BABE UMEKULA?" yaaani as if hatujui umuhimu wa kula..au labda anataka akununulie chakula..yaani inanikeraga basi tu..yaani kujali kwao na upendo wao ni kuuliza umekula babe umekula?[emoji3][emoji3][emoji3]
Mzee baba kuwa makini sana asije kukuaribia ndoa yako uyo mchepuko kwani ujampa mipaka ya kuongea nae unapokuwa na mama watoto wako! Waswahili usema ukimchekea mbwa utaingia nae mpk msikitini kuwa makini aiseeHuu utaratibu wa kupigiana simu mara kwa mara kwenye mahusiano huwa yanashusha upendo.
Asubuhi unapiga simu zaidi ya mara tano, mchana na usiku ni hivyo hivyo, kinachoongelewa ni nakupenda nakupenda; mbaya zaidi mida ya saa nane za usiku unapiga na kutaka kuongea.
Hii tabia inatukera sana sisi waume za watu.
Kama umeamua kuwa na mahusiano na mume wa mtu, jaribu kuwa mstaarabu, kwa kujua mipaka ya mawasiliano.
Kupigiana simu mara kwa mara, haimaanishi upendo; bali ni karaha.
Basi unamuendekeza....we ni mwanaume piga marufuku hayo.mambo...khaaAnafahamu hilo
Huyo hamuendani tafuta mwingine wapo wanaomfaaHuu utaratibu wa kupigiana simu mara kwa mara kwenye mahusiano huwa yanashusha upendo.
Asubuhi unapiga simu zaidi ya mara tano, mchana na usiku ni hivyo hivyo, kinachoongelewa ni nakupenda nakupenda; mbaya zaidi mida ya saa nane za usiku unapiga na kutaka kuongea.
Hii tabia inatukera sana sisi waume za watu.
Kama umeamua kuwa na mahusiano na mume wa mtu, jaribu kuwa mstaarabu, kwa kujua mipaka ya mawasiliano.
Kupigiana simu mara kwa mara, haimaanishi upendo; bali ni karaha.
Wote hamna kazi za kufanya ndomana, mngekuwa busy kutafuta Washington msingekuwa mnapigiana masimu kila wakati kama karani na meneja vileHuu utaratibu wa kupigiana simu mara kwa mara kwenye mahusiano huwa yanashusha upendo.
Asubuhi unapiga simu zaidi ya mara tano, mchana na usiku ni hivyo hivyo, kinachoongelewa ni nakupenda nakupenda; mbaya zaidi mida ya saa nane za usiku unapiga na kutaka kuongea.
Hii tabia inatukera sana sisi waume za watu.
Kama umeamua kuwa na mahusiano na mume wa mtu, jaribu kuwa mstaarabu, kwa kujua mipaka ya mawasiliano.
Kupigiana simu mara kwa mara, haimaanishi upendo; bali ni karaha.
Utakachotakiwa kufanya, ni kufunga safari na kwenda kumjulia haliKumpigia simu anaeumwa na kutaka kujua hali yake ipoje nayo imekaaje?🤔
Na mwomba huyo mkuu .. natafuta mke qa namna hii ila asiwe single mamahuyu wangu kazidView attachment 2208963View attachment 2208964
OkayUtakachotakiwa kufanya, ni kufunga safari na kwenda kumjulia hali
Mrembo, Idd wapi?Okay
,poa mkuu nitakupasiaNa mwomba huyo mkuu .. natafuta mke qa namna hii ila asiwe single mama
Hata kama siyo mme wa mtu inakera tu,
Maana hakuna cha maana mtaongea mara saba kwa siku..halafu sasa wanawake walivyo hawana la kuongea..utasikia anakuuliza " BABE UMEKULA?" yaaani as if hatujui umuhimu wa kula..au labda anataka akununulie chakula..yaani inanikeraga basi tu..yaani kujali kwao na upendo wao ni kuuliza umekula babe umekula?😀😀😀
Kumpigia simu anaeumwa na kutaka kujua hali yake ipoje nayo imekaaje?🤔
N kama anadai figo yake 🤔huyu wangu kazidView attachment 2208963View attachment 2208964