Mdada anapenda kupiga simu mara kwa mara

Mdada anapenda kupiga simu mara kwa mara

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,614
Reaction score
65,077
Huu utaratibu wa kupigiana simu mara kwa mara kwenye mahusiano huwa yanashusha upendo.

Asubuhi unapiga simu zaidi ya mara tano, mchana na usiku ni hivyo hivyo, kinachoongelewa ni nakupenda nakupenda; mbaya zaidi mida ya saa nane za usiku unapiga na kutaka kuongea.

Hii tabia inatukera sana sisi waume za watu.

Kama umeamua kuwa na mahusiano na mume wa mtu, jaribu kuwa mstaarabu, kwa kujua mipaka ya mawasiliano.

Kupigiana simu mara kwa mara, haimaanishi upendo; bali ni karaha.
 
Binafsi pia sipendi kupigiwa na kuongea na simu muda mrefu! [emoji3][emoji3][emoji3] ila unaweza kumcondition mkuu ukamwambia maswala ya simu za mara kwa mara sitaki.

Anyway si mlishasema mapenzi ni ujinga?
 
Binafsi pia sipendi kupigiwa na kuongea na simu muda mrefu !! [emoji3][emoji3][emoji3] ila unaweza kumcondition mkuu ukamwambia maswala ya simu za mara kwa mara sitaki !!

Anyway si mlishasema mapenzi ni ujinga ?
Mapenzi ni ujinga mkuu
 
Huu utaratibu wa kupigiana simu mara kwa mara kwenye mahusiano huwa yanashusha upendo.

Asubuhi unapiga simu zaidi ya mara tano, mchana na usiku ni hivyo hivyo, kinachoongelewa ni nakupenda nakupenda; mbaya zaidi mida ya saa nane za usiku unapiga na kutaka kuongea.

Hii tabia inatukera sana sisi waume za watu.

Kama umeamua kuwa na mahusiano na mume wa mtu, jaribu kuwa mstaarabu, kwa kujua mipaka ya mawasiliano.

Kupigiana simu mara kwa mara, haimaanishi upendo; bali ni karaha.
Why hukumwambia tangu mwanzo...kwani ye hajui.we mume wa mtu[emoji56][emoji56]...
Km umemwambia na hafanyi..anaplan akuvunjie ndoa....
Saa 8 usiku.khaaa
 
huyu wangu kazid
Screenshot_20220502-203224.jpg
Screenshot_20220502-203213.jpg
 
Hata kama siyo mme wa mtu inakera tu,
Maana hakuna cha maana mtaongea mara saba kwa siku..halafu sasa wanawake walivyo hawana la kuongea..utasikia anakuuliza " BABE UMEKULA?" yaaani as if hatujui umuhimu wa kula..au labda anataka akununulie chakula..yaani inanikeraga basi tu..yaani kujali kwao na upendo wao ni kuuliza umekula babe umekula?😀😀😀
 
Back
Top Bottom