Simu za usiku je? 😉😉Simu za kutwa mara 3 kama dose ya homa mie hapana 🤣
Randomly texts maybe.. thoe wakati mwingine nachelewa kuona/kujibu na kutuma.
And kuna sometimes najisahaulisha ili nimisiwe 🙈
Mwisho saa 4.. saa 5 usingizi unakuwa mwingi mno… naweza hata kuropoka aisee 🤦♀️Simu za usiku je? 😉😉
Unaropoka au unaweweseka...Mwisho saa 4.. saa 5 usingizi unakuwa mwingi mno… naweza hata kuropoka aisee 🤦♀️
NaropokaUnaropoka au unaweweseka...
Ila sii hauropokei yale machungu, unaropoka yale matamu...Naropoka
🤣🤣🤣Ila sii hauropokei yale machungu, unaropoka yale matamu...
Sijui lini nitapata bahati ya kusikia usiku wa manane unavyoropka kwa usingizi...
😂😂😂😂 yan usijaribu…Sijui lini nitapata bahati ya kusikia usiku wa manane unavyoropka kwa usingizi...
Hata dini inatuhimiza kwamba ombeni nanyi mtapewa...😂😂😂😂 yan usijaribu…
“Na muombe bila kuchoka”Hata dini inatuhimiza kwamba ombeni nanyi mtapewa...
Ngoja niombe ili nipiewe hiyo nafasi...
Ili nipate bahati ya kusikia unavyoropoka usiku...“Na muombe bila kuchoka”
Na we nae kwa nn unachepuka,?!Huu utaratibu wa kupigiana simu mara kwa mara kwenye mahusiano huwa yanashusha upendo.
Asubuhi unapiga simu zaidi ya mara tano, mchana na usiku ni hivyo hivyo, kinachoongelewa ni nakupenda nakupenda; mbaya zaidi mida ya saa nane za usiku unapiga na kutaka kuongea.
Hii tabia inatukera sana sisi waume za watu.
Kama umeamua kuwa na mahusiano na mume wa mtu, jaribu kuwa mstaarabu, kwa kujua mipaka ya mawasiliano.
Kupigiana simu mara kwa mara, haimaanishi upendo; bali ni karaha.
Inatokea tu mkuuNa we nae kwa nn unachepuka,?!
MkoaniIna maana hujui anapoishi inabidi uende
Mtu anakupigia anakuambia "niambie"...sasa nikuambie nini mimi wakati wewe ndo uliyenipigia simu?.Mimi uyo uwa ana piga piga kila mda afu hana ata cha kusema .ana piga afu ana sema (nambie) badae tena ivyo ivyo,Nilikuja kumwambia kama huna cha kusema usiwe una nipigia at least nime pumzika kidgo.
Unamwambia sijakula babe namwagilia maua saahii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata kama siyo mme wa mtu inakera tu,
Maana hakuna cha maana mtaongea mara saba kwa siku..halafu sasa wanawake walivyo hawana la kuongea..utasikia anakuuliza " BABE UMEKULA?" yaaani as if hatujui umuhimu wa kula..au labda anataka akununulie chakula..yaani inanikeraga basi tu..yaani kujali kwao na upendo wao ni kuuliza umekula babe umekula?[emoji3][emoji3][emoji3]
HahahaaUnamwambia sijakula babe namwagilia maua saahii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app