Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 28,128
- 54,701
Yah dawa ya tatizo ni kuliondoa, hakuna kulea vidonda vinavyokua kama sarataniHuu ndio uamuzi sahihi
Yah dawa ya tatizo ni kuliondoa, hakuna kulea vidonda vinavyokua kama sarataniHuu ndio uamuzi sahihi
Shida ya side chick anakua na wivu mkubwa kumzidi na wakati amemkuta mwenye mji katulia, sasa anagombe ile nafasi ya juu so yupo tayari kuhatarisha hata afya ya ndoa yakoPoleni sana ila ni vyema kuishi kwa mipaka
Hahaha ni logic ya kawaida tu 😆Past experience [emoji6]
mpeleke tigo akapewe ajira kabisahuyu wangu kazidView attachment 2208963View attachment 2208964
Joanah wewe hebu sema ukweli, hizo logic we ni geniusHahaha ni logic ya kawaida tu [emoji38]
🤣Joanah wewe hebu sema ukweli, hizo logic we ni genius
Hata weweInakera asee!
Mkuu, Hili limekuwa ni kero kubwa. Huwa najiulizaga hivi hawa viumbe hawana kazi/kitu cha kufanya? Hawajui kwamba matumizi ya simu ni gharama? Any way, niliwahi kumdodosa mmoja wapo na akafunguka na kuniambia eti nayo ni njia mojawapo ya kuwakoga wenzake kwamba yy anakubalika sana na yupo kwenye viwango. Hapo Niliishiwa pumzi. 🤣Huu utaratibu wa kupigiana simu mara kwa mara kwenye mahusiano huwa yanashusha upendo.
Asubuhi unapiga simu zaidi ya mara tano, mchana na usiku ni hivyo hivyo, kinachoongelewa ni nakupenda nakupenda; mbaya zaidi mida ya saa nane za usiku unapiga na kutaka kuongea.
Hii tabia inatukera sana sisi waume za watu.
Kama umeamua kuwa na mahusiano na mume wa mtu, jaribu kuwa mstaarabu, kwa kujua mipaka ya mawasiliano.
Kupigiana simu mara kwa mara, haimaanishi upendo; bali ni karaha.
Atakuwa anajiharibia bila kujuaMkuu, Hili limekuwa ni kero kubwa. Huwa najiulizaga hivi hawa viumbe hawana kazi/kitu cha kufanya? Hawajui kwamba matumizi ya simu ni gharama? Any way, niliwahi kumdodosa mmoja wapo na akafunguka na kuniambia eti nayo ni njia mojawapo ya kuwakoga wenzake kwamba yy anakubalika sana na yupo kwenye viwango. Hapo Niliishiwa pumzi. 🤣
Ndio maana watu wengine esp. Me anaweza kumtusi mwanaume mwenzake kwa maneno "Wee, una akili fupi kama mwanamke" akimaanisha chukua Tahadhari.Atakuwa anajiharibia bila kujua
Ulifanya maamuzi magumu mkuuMimi uyo uwa ana piga piga kila mda afu hana ata cha kusema .ana piga afu ana sema (nambie) badae tena ivyo ivyo,Nilikuja kumwambia kama huna cha kusema usiwe una nipigia at least nime pumzika kidgo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu issue kama hii imenitokea nilichofanya ni kublock namba zake zote, asubuhi simu,mchana simu, usiku ndio balaaa simu mpaka saa nane anataka tuongee tuHuu utaratibu wa kupigiana simu mara kwa mara kwenye mahusiano huwa yanashusha upendo.
Asubuhi unapiga simu zaidi ya mara tano, mchana na usiku ni hivyo hivyo, kinachoongelewa ni nakupenda nakupenda; mbaya zaidi mida ya saa nane za usiku unapiga na kutaka kuongea.
Hii tabia inatukera sana sisi waume za watu.
Kama umeamua kuwa na mahusiano na mume wa mtu, jaribu kuwa mstaarabu, kwa kujua mipaka ya mawasiliano.
Kupigiana simu mara kwa mara, haimaanishi upendo; bali ni karaha.
Anakuwa anakaba nafasi zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu issue kama hii imenitokea nilichofanya ni kublock namba zake zote, asubuhi simu,mchana simu, usiku ndio balaaa simu mpaka saa nane anataka tuongee tu
Ina maana hujui anapoishi inabidi uendeKumpigia simu anaeumwa na kutaka kujua hali yake ipoje nayo imekaaje?[emoji848]
Kila kitu kinatakiwa kiwe kwa kiasiNamba ya simu si umetoa mwenyewe Kwa Nini ulalamike kupigiwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]N kama anadai figo yake [emoji848]
mkuu huyo hampendani tena, mpe ratiba yako aifuateHuu utaratibu wa kupigiana simu mara kwa mara kwenye mahusiano huwa yanashusha upendo.