Mdada anapenda kupiga simu mara kwa mara

Mdada anapenda kupiga simu mara kwa mara

Nina kademu kafupi fupi hivi kabena kanapiga cm hako hatariiiiiii,kwa siku anapiga hata Mara kumi alafu hamna cha maana anachoongea anakuambia nataka tuu nisikie sauti yako.
Tafadhari sana Mzee, sipendi kusikia unawasema vibaya dada zangu, binti wa Njombe (Wabena). Halafu ni nature ya Wanawake km amekupenda,na Amekufa ameoza kwako kupiga piga simu,mimi mwenyewe wife nipo nae mwaka wa kumi huu lkn anapenda sana kunipigia pigia simu niwapo kazini kutaka kujua naendeleaje na kazi,lkn Mimi nimeshamzoea na huwa ninachukulia poa tu.
 
Sawa shemej nimekuelewa sana,wabena wakipenda wanapenda kweli [emoji23] [emoji23][emoji3]
 
Niliwahi kuwa na dada mmoja saa nane akiiishiwa usingizi text zina ingia kama mvua usipojibu incoming call hiyo [emoji16] da utoto huu Atali
 
Eti kujali kwao ni kuuliza "umekula"
Hata kama siyo mme wa mtu inakera tu,
Maana hakuna cha maana mtaongea mara saba kwa siku..halafu sasa wanawake walivyo hawana la kuongea..utasikia anakuuliza " BABE UMEKULA?" yaaani as if hatujui umuhimu wa kula..au labda anataka akununulie chakula..yaani inanikeraga basi tu..yaani kujali kwao na upendo wao ni kuuliza umekula babe umekula?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwamba nyinyi nyote mnasumbuliwa kupigiwa pigiwa simu na wapenzi wenu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom