Wenye hela hawaoneshi hela. Hawabebi makesh kesh hivo.
Wanabeba debit card, tena Black.
Hizo hela mezani hazivuki Mil 7, iPhone 12 Mil 2, HP iyo Mil 1, ilo Didot fake, Saa gharaka..
Ila wivu utaniua.. Tuache awaibie kondoo zake man.
KhaaaaTuliwahi gombania demu mmoja Sinza nikajitoa kwenye kinyanganyiro demu akanionea huruma akawa anachukua pesa kwa nabii halafu mimi napewa papuchi for free.
Ila kweli bwana,wakiwa masikini ooh masikini lipi jema jamananiMi sio muumini wakewala sina airtime time nae.
Ila ni ujinga mkuu kufikiri mchungaji,nabii,katekista,mtume,padre au mtumishi yeyote kutokua na hela
Ni umaskini wa fikra kudhani fedha zina milikiwa na akina moo basi wengine hawawezi.
Km ni show off,kuna mtu kakatazwa yeye ku azima fedha na ku show off.?
Umaskini ni mby sana,ndio maana maskini haaminiki.
ayaaaaaaa!!!!! umezinguaaaa
Mi nadhani wenzetu wanaichukulia dini yao more seriously....Aisee kweli, hadi Masanja mchungaji
Wakatoliki walikosea sana baada ya kuanzisha duni ya kikristo kwa kutokusajili haki ya kutumia jina la Kristu. Ndio maana masela mbalimbali wanaibuka na kujifanyia mambo yao kinyume kabisa na kujiita wakristu.Hivyo jamii ya watu wanaamini kuwa ni sawa lakini ni watu wanaojitengenezea taratibu zao
HahahahaKuna watu wanamuamini.....Kuna mwanangu flan alikuwa anaenda kwa sababu kwenye ibada zake jamaa alikuwa anatoa elfu 15....mwamba alikuwa hakosi ibada maana alijua mwisho wa ibada anapata hela ya Kvant kubwa...!na balimi 4
Basi hongera zake mkuumchungaji lakini anaonekana fighter haswa... mfugaji na kwenye madini yumo
Mi zwazwa wewe ndo unaakili,Pamoja na kujifaragua na kujitetea hapo mwanzoni, ila para ya mwisho imetosha kuonesha uzwazwa wako…. endeleeni kupigwa tu.
Kuazima PESA za show off…!!
Mkuu mbona hasira Sana, vipi kwani!?Mi zwazwa wewe ndo unaakili,
Ma missionary walioleta dini na wakajenga hospitals,schools,visima maji n.k n.k hela aliwapa mamaako,?
Kipindi hicho hkn smart phone ungeonaje iyo mihela?
Show off imerahisishwa sana na tecnolojia tofauti na zamani sio rahisi kuona mambo hayo,
Lkn watu washaanza kumilki pesa kitambo saana tu.
Anzisha na wewe upige wengine kwani inakuuma nini au umekatazwa na ukoo wenu?
Mkuu mbona hasira Sana, vipi kwani!?
Mi zwazwa wewe ndo unaakili,
Ma missionary walioleta dini na wakajenga hospitals,schools,visima maji n.k n.k hela aliwapa mamaako,?
Kipindi hicho hkn smart phone ungeonaje iyo mihela?
Show off imerahisishwa sana na tecnolojia tofauti na zamani sio rahisi kuona mambo hayo,
Lkn watu washaanza kumilki pesa kitambo saana tu.
Anzisha na wewe upige wengine kwani inakuuma nini au umekatazwa na ukoo wenu?
Wewe ni demu wa Shilla, bila shaka.