Mchungaji na Bilionea Shilla...

ORODHA YA MATAJIRI TANZANIA (WENGINE HAWAPO HAI KWA SASA )

1. SAID BAKHRESA

2. GULAM DEWJI

3. ROSTAM AZIZ

4. DK. REGINALD MENGI

5. ALI MUFURUKI

6. MUSTAFA SABODO

7. ABDUL-AZIZ ABOOD

8. MICHAEL SHIRIMA

9. YUSUF MANJI

10. MOHAMMED DEWJI


JE UMEISHAWAHI KUONA WAMEPIGA PICHA NA MAPESA? JE UMEISHAWAHI SIKIA WAKIJITAMBULISHA KAMA BILIONEA?.

WENYE PESA HAWAJITANGAZI!! TUKO KIMYAA
Huyo number 10 mtoe.
 
Nimefurahi kuona uwepo wako Dina

Kuna rafiki yangu huwa anasema, kama si shida basi Waafrika wangekuwa wapagani namba moja...

Hivyo watu hupelekwa huko sababu ya shida tu
Nipo ndugu badala ya kuongeza nguvu kupambania maendeleo imebidi tuongeze ya kupambana kuishi dhidi ya mdudu corona.

Na baadhi ya "watumishi" wanakapitolaizi kwenye hizo shida za watu...basi si tafrani.
 
Bilonea anapiga picha na 5m huyo labda bilionea wa zimbabwe...nlimkuta chuga analala premier hotel,chumba pale 50 kwa 40anazidiwa na tunda anaelala mountmeru au granmelia
 
Wangapi wapo online kwa sasa, watu 100 kuwa wa kwanza kusema Amen, nitawajaza mitaji ya biashara.
 
Wakuu, huyu bwana mdogo nimekua nikicheck posts zake mitandaoni napata ukakasi kama kweli (roho yu ndani yake) na vile maandiko yanavosema tujihadhari na manabii wa siku za mwisho.

And what's the source of his lavish style?

Huu utqjiri usio na maelezo yanayoeleweka,huwa unatia mashaka,
Ukitaka kujua utajiri unavyopatikana,kawasome Mzee Mengi,Bakheresa,Mo dewji,Moil,Shabiby,
Diamond,Master J,Pfunk,Masanja mkandamizaji,Joti,
Lakini Hawa wanaozuka,kama gwaji boy,
It's just shady deals,unaweza ukakuta wengine kazi yao ni kubashiwa tu
 
Back
Top Bottom