Mchungaji na Bilionea Shilla...

Mi sio muumini wakewala sina airtime time nae.
Ila ni ujinga mkuu kufikiri mchungaji,nabii,katekista,mtume,padre au mtumishi yeyote kutokua na hela
Ni umaskini wa fikra kudhani fedha zina milikiwa na akina moo basi wengine hawawezi.

Km ni show off,kuna mtu kakatazwa yeye ku azima fedha na ku show off.?
Umaskini ni mby sana,ndio maana maskini haaminiki.
Ila kweli bwana,wakiwa masikini ooh masikini lipi jema jamanani

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Wakatoliki walikosea sana baada ya kuanzisha duni ya kikristo kwa kutokusajili haki ya kutumia jina la Kristu. Ndio maana masela mbalimbali wanaibuka na kujifanyia mambo yao kinyume kabisa na kujiita wakristu.Hivyo jamii ya watu wanaamini kuwa ni sawa lakini ni watu wanaojitengenezea taratibu zao
 
Kuna watu wanamuamini.....Kuna mwanangu flan alikuwa anaenda kwa sababu kwenye ibada zake jamaa alikuwa anatoa elfu 15....mwamba alikuwa hakosi ibada maana alijua mwisho wa ibada anapata hela ya Kvant kubwa...!na balimi 4
Hahahaha
 
Pamoja na kujifaragua na kujitetea hapo mwanzoni, ila para ya mwisho imetosha kuonesha uzwazwa wako…. endeleeni kupigwa tu.

Kuazima PESA za show off…!!
Mi zwazwa wewe ndo unaakili,

Ma missionary walioleta dini na wakajenga hospitals,schools,visima maji n.k n.k hela aliwapa mamaako,?
Kipindi hicho hkn smart phone ungeonaje iyo mihela?
Show off imerahisishwa sana na tecnolojia tofauti na zamani sio rahisi kuona mambo hayo,
Lkn watu washaanza kumilki pesa kitambo saana tu.
Anzisha na wewe upige wengine kwani inakuuma nini au umekatazwa na ukoo wenu?
 
Mkuu mbona hasira Sana, vipi kwani!?
 
Wewe ni demu wa Shilla, bila shaka.
 
ORODHA YA MATAJIRI TANZANIA (WENGINE HAWAPO HAI KWA SASA )

1. SAID BAKHRESA

2. GULAM DEWJI

3. ROSTAM AZIZ

4. DK. REGINALD MENGI

5. ALI MUFURUKI

6. MUSTAFA SABODO

7. ABDUL-AZIZ ABOOD

8. MICHAEL SHIRIMA

9. YUSUF MANJI

10. MOHAMMED DEWJI

JE UMEISHAWAHI KUONA WAMEPIGA PICHA NA MAPESA? JE UMEISHAWAHI SIKIA WAKIJITAMBULISHA KAMA BILIONEA?.

WENYE PESA HAWAJITANGAZI!! TUKO KIMYAA
 
Back
Top Bottom