Mchungaji na Bilionea Shilla...

khaaa khaaa Kuna Jirani yangu alimtangazia kuwa atamwoaalipopata alichotaka akawa ata simu apokei tena
Siku kampigia video call nkamwambia pokea alimuhisi yupo na mwanaume mi nkatoka nje basi akamuonyesha chumba kizima hadi sebuleni kumbe sie tunacheza na camera.

Ikielekea huku mi nachumpa upande wa pili basi akaridhika nikaendelea na mchakato.Kuanzi siku hiyo siamini video call
 
Huwa nawaonea huruma sana akina mama wenzangu maana ndio tumejikuta wapitia wakuu wa nyumba za ibada zao hivyo kuishia kuwa wasindikizaji wa lifestyle za wahudumu wa kaliba hizi.

Nimefurahi kuona uwepo wako Dina

Kuna rafiki yangu huwa anasema, kama si shida basi Waafrika wangekuwa wapagani namba moja...

Hivyo watu hupelekwa huko sababu ya shida tu
 
Wenye hela hawaoneshi hela. Hawabebi makesh kesh hivo.

Wanabeba debit card, tena Black.

Hizo hela mezani hazivuki Mil 7, iPhone 12 Mil 2, HP iyo Mil 1, ilo Didot fake, Saa gharaka..

Ila wivu utaniua.. Tuache awaibie kondoo zake man.
Hahahahaha
Unaongea uchungu mwingi wenye ukweli uliobebeka.


Wivu huu dah.

Waache wajinga waliwe
 
Tuliwahi gombania demu mmoja Sinza nikajitoa kwenye kinyanganyiro demu akanionea huruma akawa anachukua pesa kwa nabii halafu mimi napewa papuchi for free.
Keshasoma humu.

Subiri amtolee unabii dem ndo utajua hujui
 
Mi sio muumini wakewala sina airtime time nae.
Ila ni ujinga mkuu kufikiri mchungaji,nabii,katekista,mtume,padre au mtumishi yeyote kutokua na hela
Ni umaskini wa fikra kudhani fedha zina milikiwa na akina moo basi wengine hawawezi.

Km ni show off,kuna mtu kakatazwa yeye ku azima fedha na ku show off.?
Umaskini ni mby sana,ndio maana maskini haaminiki.
 
Back
Top Bottom