Mchungaji Msigwa (CHADEMA) amtaka Kinana awahi kortini

Mchungaji Msigwa (CHADEMA) amtaka Kinana awahi kortini

Kinana anataka kwenda kujishitaki mwenyewe muacheni, watu wengine kama mazuzu
 
Umeona tofauti ya Msigwa na kinana. Kinana amempa msigwa taarifa in a very formal way na evidence. Msigwa anaenda kuwajibu wamachinga wa Iringa!

Huyu mtu ana akili timamu kweli?

It depends with how you want to put it,and your political affiliation status
 
Hizi kupeana siku 21 mara 10 mara mwezi kwa wanasiasa tumezisikia sana pasipo utekelezaji?
 
mango pickle,hapa umenena mkuu.mungu akubariki.huku usukumani una shamba linagunduliwa lina madini unafukuzwa kama mbwa analetwa mgeni anapewa!!!!!ukibishabisha wanakuja polisi wenye silaha na greda na kukuondoa kwa nguvu.

Hao ndio CCM mkuu, dawa yao ni kupiga kura za hasira 2015
cc ZeMarcopolo
 
Last edited by a moderator:
Umeona tofauti ya Msigwa na kinana. Kinana amempa msigwa taarifa in a very formal way na evidence. Msigwa anaenda kuwajibu wamachinga wa Iringa!

Huyu mtu ana akili timamu kweli?

[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]SN[/TD]
[TD]MSIGWA[/TD]
[TD]KINANA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]01[/TD]
[TD]SIO MDOKOZI[/TD]
[TD]MDOKOZI,ALIDOKOA MASHINE YA KUFULIA NGUO ARUSHA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]02[/TD]
[TD]MWADILIFU[/TD]
[TD]HANA UADILIFU, MWIZI NA JANGILI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]03[/TD]
[TD]MTETEZI WA RASLIMALI ZA WATANZANIA[/TD]
[TD]MUUAJI WA TEMBO, FISADI, MKANDAMIZA WANYONGE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]04[/TD]
[TD]YUPO KWENYE CHAMA MAKINI KINACHOJALI MASLAHI YA MASKINI WENGI WA TANZANIA[/TD]
[TD]YUPO KWENYE LICHAMA LIBOVU, LILILOCHOKA, LILILOJAA VIONGOZI VIBURI, WABINAFSI, WALAFI, WAROHO WA RASLIMALI NA WENYE TAMAA YA MADARAKA ILI WAVIMBISHE MATUMBO YAO.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]05[/TD]
[TD]KIPENZI CHA WALIOMCHAGUA[/TD]
[TD]HAPENDWI HATA NA WANA CCM WENYEWE KWA SABABU YA KUMALIZA TEMBO WETU
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

945288_201878133294636_36115892_n.jpg


380826_589246627765961_1896542173_n.jpg





CC Nape Nnauye, ZeMarcopolo, njiwa, Ritz, Masanilo, masopakyindi@ANNA TIBAIJUKA, Pasco
 
acheni kutetea ujinga kwa ukereketwa wa chama chenu kilichozeeka! tangu lini msomali akafanya biashara za halali! subiri 2015 tutamwaga utumbo wooote wa Kinana ndio mjione mnatetea ujinga!
 
Wewe na Msigwa akili zenu hazina tofauti!

Unaandikiwa barua na mwanasheria, unawajibu wamachinga!!!

Mkuu nasikia Nape hajawalipa Mwezi wa Pili huu na bado mnaendelea kukomaa tu Poleni sana
 
Wewe na Msigwa akili zenu hazina tofauti!

Unaandikiwa barua na mwanasheria, unawajibu wamachinga!!!

Akili zako ndio zinatatizo wala hujaelewa ujumbe. Rudia kusoma. Nadhani ungetujibu endapo kama una uhakika huyo wakili wake kaiwasilisha barua ya madai kwa Msigwa mwenyewe ama kaandika tu kwenye gazeti. Na kama ni hivyo hoja inanamhusu Msigwa je inajitoshelezwa kwa kuandikwa tu gazetini na ndio utaratibu unaostahili kufatwa? Kwa hiyo tupe uhakika Msigwa kakabidhiwa barua yake?
 
Haya Msigwa siku zinaenda nadhani umechaguliwa ili uwakilishe wananchi wako jimboni sio ukakae mahakamani.
 
Nafikiri wakati wa Tanzania kuamkakwa mara ya pili kudai Uhuru wa pili-WA KIUCHUMI umefika.MCHUNGAJI MSIGWA mtamwita kila jina baya lakini anatuamsha tupate kujua na kulinda rasilimali zilizosalia-NYERERE NA TANU waliitwa kundi la wahuni,MANDELA NA ANC waliitwa magaidi.SASA JE?
 
Kweli Problems Can't Be Solved By Same Level Of Thinking.hii Ni Akili Ndogo Kutawala Akili Kubwa.KINANA Anashtaki Kupitia Magazeti MSINGWA Anajibu Kupita Wananchi Wake Waliomuamin
 
Kinana asithubutu kwenda mahakamani. Data tunazo kibao

Anapiga kelele kama walivyopiga wale wa 'list of shame' waliotajwa na Dr Slaa. Walipiga kelele na kutishia kumpeleka Dr Slaa mahakamani, alipowajibu kuwa watangulie wakutane huko wamepiga kimya hadi leo pamoja na Jk mwenyewe!
 
hahahahahahaha this is Tanzania, nimekubali kuna watu wanatumika kwa wanasiasa.
kiukweli cwezi bishana na mtumwa mbumbumbu aliyetumwa humu JF kuwasafsha hao kina bwana NDOVU.
I trust my mind bt i can listen how gud u sound.
mwenye hoja alete co kutoka mapovu tu hapa.
embu tusubiri muda then tuone nani mkweli.
eeeeh Mungu ponya akili za watu hawa wanaojali matumbo yao tu na kuwasahau wengine.
 
Hakuna masharti ya kumjibu mtu. Tena mikutano ya siasa inamfaa sana jangili kama yeye.

Suala la kuogopa uchaguzi na kuwaacha majangili wakiua tembo wetu ni usaliti mkubwa kwa taifa.
Una ushahidi kama kaua tembo,acheni maneno ya vijiwe vya pombe haramu ya gongo
 
Back
Top Bottom