The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,259
- 20,518
Wala siyo shujaa. Furaha yetu tukiwaona mkiparuana wenyewe kwa wenyeweKinana hivi sasa ni shujaa wa makamanda wa ufipa.
Wala siyo shujaa. Furaha yetu tukiwaona mkiparuana wenyewe kwa wenyeweKinana hivi sasa ni shujaa wa makamanda wa ufipa.
Subiri kidogo tu nafunguka bibie😆😆👌Mkuu Bahimba funguka hivyo vifo, please!
Leo anamtamaniSijawai kumtuma mtei huo ni unafiki na upotoshwaji wa mambo,nyeupe nyeupe nyeusi nyeusi,ushaidi upo kinana ni mfanyabiashara maarufu wa pembe za ndovu,
by msigwa
😂😂😂😂 haya sasa wamchukue ! Vigeugeu hao !Sijawai kumtuma mtei huo ni unafiki na upotoshwaji wa mambo,nyeupe nyeupe nyeusi nyeusi,ushaidi upo kinana ni mfanyabiashara maarufu wa pembe za ndovu,
by msigwa
Bado una imani kubwa kwake? Bado unaamini ndio MTU pekeee mlinzi wa rasilimali zetu?si hao tu, wengine wanatafuta umaharufu mpaka msikitini na kanisani kwa kuhonga hela walizoiba,
eh baba yetu dr slaa mungu akupe afya njema, akulinde na aendelee kukupa hekima na busara, wewe ndo mlinz pekee wa rasilimali zetu,
ona nchi yetu imebatizwa jina la shamba la bibi, hata rwanda wanatudhalau.
Tuna imani kubwa kubwa sana na wewe
Amerudi analia eeh,huruma,anatia huruma.....Mtasubiri sana ! Hakuna atayethubutu kwenda Mahakamani , mnatoka Mapovu bure !
Msigwa akili zake hazitofautiani na wa kukurupuka 😀😀😀😀😀😀😀😀Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amememtaka Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bw Abdulrahman Kinana kutokusubiri muda wa siku 21 alizozitoa Wakili wake kumfikisha mahakamani.
Mch. Msigwa amesema kuwa yupo tayari kwenda mahakamani hata kesho.
Mbunge Msigwa amesema kuwa katika ukweli kamwe hata kuwa tayari kumwogopa mtu na siku zote atasimama katika ukweli katika kupigania maslahi ya Taifa hili.
Msigwa amesema hatua ya katibu mkuu wa CCM kukimbilia katika vyombo vya habari kutishia kumfikisha mahakamani bila yeye mhusika kupelekewa taarifa ni sawa na kumwogopa.
Akasema suala la Kinana kwenda Mahakamani ni sawa na kumtishia nyau mtu mzima.
Msigwa ameseme CHADEMA ina mawakili waliojitosheleza na hawatanyamaza kusema ukweli kwa kuogopa vitisho.
Msigwa ameyasema hayo leo wakati akizungumza na wafanyabiashara ndogondogo (wamachinga) mjini Iringa katika stendi ya mabasi ya Mikoani, akiwataka wafanya biashara hao kuendelea kufanya kazi katika eneo la Mashine Tatu bila kufanya vurugu zozote.
Amesema suala lao la kunyanyasika ameshaanza kulipigania bungeni kwa Waziri mwenye dhamana, hivyo machinga wa Iringa wasikubali kamwe, kunyanyaswa.
Mwisho wa siku kilienda kumpigia magoti na kuomba msamaha,kikaona haitoshi kimejipeleka mazima CCM kama kimalaya fulani hivi.Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amememtaka Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bw Abdulrahman Kinana kutokusubiri muda wa siku 21 alizozitoa Wakili wake kumfikisha mahakamani.